katiba mpya ya chitchat

Last edited by a moderator:
we Arushaone, hivi ushawahi kuona vumbi inatimka kwenye maji? sasa we endelea kumsarandia binti yangu...

Kwa hiyo unanitishia ba'mkwe au unataka kumuozesha bintiyo Passion Lady kwa nani? Kumbuka matumizi yote anapata kwangu tangu Ruttashobolwa amkimbie yapata miezi minne iliyopita. Angalia isijekuwa mkeo measkron ndiye yule Banana Zorro aliyemuimba kuwa hataki kumuozesha biniye
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…