Mleta mada inawezekana sio mtu wa kawaida. Yaan hujayaona yote yanayolikabili taifa letu kama madawa ya kulevya na ujambaz uliokidhiri bali wewe umeona la maoni kukataliuwa kweli? Vitu vingine jaman!
kwisha habari yenu,chadema mkishikwa pabaya mnakimbilia kuuliza chooni wapi
Mleta mada inawezekana sio mtu wa kawaida. Yaan hujayaona yote yanayolikabili taifa letu kama madawa ya kulevya na ujambaz uliokidhiri bali wewe umeona la maoni kukataliuwa kweli? Vitu vingine jaman!
mkuu tunazungumzia maoni ya katiba,mbona hueleweki.mnahangaika sana na dakt wa ukweli. Kwa nn msihangaike na daktar wenu wa kichina. Kagame ndo dawa yake. Sa hz anaunyaunya tu baada ya kulikoroga. Acha alinywe!
Kwani maoni ya CCM yamepokelewa au maoni yao ni kwenye vyombo vya habari tu?
sasa hapo Dr.Slaa ndo kapata pigo au watanzania?
we kweli zuzu uzi umeletwa tena na mdaku mkuu wa jf hata haieleweki chanzo cha habari nichangie tu bila kuhoji? Hivi nyie mijitu ya ccm mpoje lakini?mkuu chadema hamjitambui kabisa kabisa.,yaani hovyo kwelikweli.Ona saaa baada ya habari kuijadili unauliza imetoka wapi.Lakini isingekuwa inauliza kuhusu chadema ungefyata mkia.
jadili mada mkuu huku kwingine unapoteza muda.Chadema mnafuja ruzuku ya chama kwa matumizi ya ya ovyoo
wewe Tume haipokei maoni ya kihuni yaliyoandikwa Hotelin na vijana wa Dr.slaa,kwenye mikutano ya Dr.slaa hakuna maoni yaliyokuwa yanaandikwa kwenye makaratasi zaidi ya kuongea kwa mudomo.hilo sio pigo kwa dr.slaa ni la watz wote.sioni kama tutapata katba mpya kwa utawala huu.pengine tusubiri 2016.
kuelimishaafadhali sisi tunatumia ruzuku kwa kuwaelimisha raia kuliko nyie kujifungia dodoma na kudanganya umma
warioba aliwafikia watanzania wangapi? hivi wanachama wa CCM ndo watanzania?Watanzania tulishatoa maoni yetu kwenye tume ya jaji Warioba kadri ya uwezo wetu.
Kwisha habari yake,dr.slaa mhuni alikusanya vijana ndio waandike maoni hotelini.
mkuu chadema hamjitambui kabisa kabisa.,yaani hovyo kwelikweli.Ona saaa baada ya habari kuijadili unauliza imetoka wapi.Lakini isingekuwa inauliza kuhusu chadema ungefyata mkia.
mkuu tunazungumzia maoni ya katiba,mbona hueleweki.
Maoni milioni 3yako wapi hahahahaha?
kuelimisha
raia?
Au kuhadddaaaaa umma,kujilipua na mabomu na kumwagia tindikali watu.