Joss
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 765
- 191
Hivi tulitegemea nini hasa? Rais asisaini mswada? Suala la katiba linagusa kila mtu, si CDM peke yake. CDM wamajitahidi sana kuonesha upungufu uliopo, vinginevyo wengi wetu tusingejua hata ni nini kinachoendelea.
Rais alishasema kuwa angetia sahihi mswada, hakuna jambo ambalo lingebadilisha uamuzi wake, kufanya hivyo ingekuwa pigo kubwa sana kwa serikali yake na chama chake.
Rais alishasema kuwa angetia sahihi mswada, hakuna jambo ambalo lingebadilisha uamuzi wake, kufanya hivyo ingekuwa pigo kubwa sana kwa serikali yake na chama chake.