Katiba isiyompa rais mamlaka haitufai.

Kuna baadhi ya watu fulani wamekuwa na hasira kuhusu mamlaka ya Rais yaliyoanishwa kwenye Katiba Inayopendekezwa ile Sura ya nane,Kuanzia Ibara ya 80 mpaka 98. Watu hao wamefikia hatua ya kutaka apunguziwe mamlaka huku wengine hasira zao zikipitiliza wakitaka hata yale aliyonayo yaondolewe yote kabisa abaki kama mtumishi wa kawaida!

Jambo la kunishangaza ni pale watu hao wanaposhindwa kuelewa kuwa mamlaka au heshima ya mfalme ni wingi wa watu wake!wanashindwa kuelewa kuwa Mamlaka ya Rais ni wingi wa kura zake,hawezi kulinganishwa na mtu yeyote katika nchi na Katiba Inayopendekezwa ambayo wananchi wataipigia kura imelizingatia hili.

Kwa mujibu wa Katiba ya 1977 Tanzania tunao utaratibu wa kumpata Rais kupitia sanduku la kura (nguvu ya umma) ambazo humpa Mamlaka ya kuongoza na kutawala.Rais ni Mkuu wa Nchi,kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

Kwa Tanzania Rais ni alama na taswira ya Jamhuri ya Muungano na watu wake na pia ni alama ya umoja ,uhuru wa nchi na mamlaka yake!

Sasa inawezekanaje Kiongozi Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama vya nchi ukataka alinganishwe na mjumbe au mbunge au waziri? Hilo haliwezekani fuatilia nchi zote ambazo wamekubali upuuzi huu utaona marais wao ni kama mapambo tu na wana jina lao eti wanabaki kuwa Ceremonial hawana mamlaka ya maamuZi ya nchi wapo wapo tu, hili halikubaliki Tanzania Rais ni MAMLAKA hata UKAWA wanalijua hili ndo maana wanajaribu jaribu kuungana wakiamini kuwa watashinda nafasi ya Urais nao wawe na kiongozi mwenye mamlaka katika nchi.

Mungu Ibariki Tanzania!

Nawasilisha!

Nitajibu hiki unachojaribu kukipigia debe in short,simple and practical way.Kwanza kabisa unakubaliana na mimi kwamba hii mamla ya rais unayoipigania tayari ipo ktk katiba ya sasa?kama jibu ni ndio,je imeonyesha mafanikio gani ktk hii dhana nzima ya utawala bora?utakubaliana nami kwamba hicho unachokipigia debe kimeshindwa kabisa na ndio imekuwa kiini cha kukosekana kwa utawala bora.Tuanze na suala la uteuzi wa mawaziri.Katiba ya sasa na hiyo katiba ya Chenge(pendekezwa) inampa mamlaka makubwa rais ya kuteuwa mawaziri pasipo kuidhinishwa na bunge,matokeo yake ni kuishia kupata mawaziri wasio na sifa stahiki ya kushikilia nyadhifa hizo kwasababu wengi wao huteuliwa on the grounds of ushikaji na kulipana fadhila.Taifa likaishia kupata inept and incompetent ministers. Ni wachache mno waliokuwa na sifa,matokeo yake serikali nzima ikawa ina_perform below expectations (very poor performance indeed). Bila shaka utakuwa umeshuhudia kwa macho yako namna utaratibu huu wa rais kuwa na final say ktk suala la ministers appointment ulivyokuja kuleta athari ktk performance and delivery ya serikali.Siyo tu kwa mawaziri,hata watu wengine wanaoteuliwa ktk maeneo mengine kama vile ukuu wa mikoa,ukuu wa wilaya,wakurugenzi wa mikoa na wilaya, wakuu ktk idara,taaisi na mashirika ya umma wengi wao wameonekana kuwa matatizo makubwa ya kiutendaji,na wengine wana bad image au lack of ethics ambayo jamii inafahamu ila tu wakapata nafasi hizo katakana na halisi ya kimamlaka aliyo nayo rais ktk suala la uteuzi.Kama bunge la jamhuri ya muungano lingepewa mamla ya kuthibitisha wateule wote wa rais,basi leo hii Makonda asingekuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni wala tusingepata mawaziri waliodanganya kuhusu elimu zao, bunge lisingeruhusu huu upuuzi.Na hali inakuwa mbaya zaidi kama rais anayeingia madarakani ana hulka ya kuteuwa wasaidizi wake kishikaji ama kulipana fadhila maana matumizi mabaya ya madaraka yatakuwa yanavuka mipaka.
Ukija ktk eneo la usalama,pia hapa rais amepewa mamlaka makubwa mno.Taarifa zote muhimu hasa zile zinazowahusu wahalifu wakubwa (wafanyabiashara wa madawa ya kulevya,wafanyabiashara wa nyara za serikali,nk.) kutoka kwa idara ya usalama wa taifa huwa zinamfikia rais, na kimwonekano tu rais anaonekana kuwa na final say kuhusiana na taarifa hizo. Hali inakuwa mbaya kama miongoni mwa wavunja sheria za nchi ni watu anaowafahamu au rafiki zake au ndugu zake kwasababu uwezekano wa yeye kuwachukulia hatua ni mdogo sana.Tumeshuhudia ktk sakata la wafanyabiashara wa madawa ya kulevya,rais alipelekewa majina ya wahusika lakini hakuna hatua zozote za kisheria alizochukuwa hadi leo hii.
Kwa ufupi hayo ndio matokeo tunayoyashuhudia ktk utawala wa JK chini ya hayo mamlaka ya rais unayoyapigia debe leo.In fact you're fighting for more failure.
 
ACHA KUKURUPUKA KIJANA, KASOME VIZURI KATIBA INAYOPENDEKEZWA ILI UIELEWE MAANA WEWE UMECHOTA CIPANDE VIDOGO VIDOGO AFU UNADANGANYA WATU HUMU, KWANZA NKWAMBIE KUWA KATIBA INAYOPENDEKEZWA SIO YA CHENGE NDO MAANA HUJUI KITU KAZI YA KUSHABIKIA TU MANENO YA WENGINE MAANA MKO WENGI MNAOPONDA NA KUSEMA ETI YA CHENGE, CHENGE HANA KATIBA NA WALA WARIOBA HANA KATIBA, KATIBA HII NI YETU SOTE, KATIBA ISIYOMPA MAMLAKA RAIS NI KWELI HAITUFAI SASA UNABISHA NINI? Wewe unawapondea wenzio eti Taifa linaperform below wewe je wakati unasoma si uliperform below hiyo hiyo ndo maana ukafeli kidato cha 4! Acha kubashiri kijana. Na hapo hakuna mambo ya kulipana fadhila kama ulivyoropoka hapo juu, fadhila hizo labda alilipa baba yako, suala la Rais kupewa majina ya madawa ya kulevya kwni yeye ndo mtoa hukumu? Tumia akili wewe nenda kasome tena shule maana hujui mambo ya kimahakama, kesi ziko na zinashughulikiwa pindi uchunguzi unapokamilika, wewe una ushahidi gani mpaka useme eti hajashughulikia? Wewe ni muongo sana na mpotoshaji watu humu ndani. Wewe ukitaka Rais apewe baba yako ndo apafomu vizuri? Mtu gani husie na shukurani kwa mazuri yaliyofanywa na Rais wako kazi umebaki kuponda tuuu, acha ushamba bwana kuwa mzalendo.
 
Tekinolojia nimeusoma mchango wako nikagundua hauna utulivu wa mawazo kwani Rais ni nani katika nchi?unaposema Final say unamaanisha nini au hujui hiyo ndo sifa mojawapo ya kuwa president?
 
Tanzania hatujakomaa kisiasa kumpa raisi mamlaka kubwa kupitiliza.

Kuna baadhi ya watu fulani wamekuwa na hasira kuhusu mamlaka ya Rais yaliyoanishwa kwenye Katiba Inayopendekezwa ile Sura ya nane,Kuanzia Ibara ya 80 mpaka 98. Watu hao wamefikia hatua ya kutaka apunguziwe mamlaka huku wengine hasira zao zikipitiliza wakitaka hata yale aliyonayo yaondolewe yote kabisa abaki kama mtumishi wa kawaida!

Jambo la kunishangaza ni pale watu hao wanaposhindwa kuelewa kuwa mamlaka au heshima ya mfalme ni wingi wa watu wake!wanashindwa kuelewa kuwa Mamlaka ya Rais ni wingi wa kura zake,hawezi kulinganishwa na mtu yeyote katika nchi na Katiba Inayopendekezwa ambayo wananchi wataipigia kura imelizingatia hili.

Kwa mujibu wa Katiba ya 1977 Tanzania tunao utaratibu wa kumpata Rais kupitia sanduku la kura (nguvu ya umma) ambazo humpa Mamlaka ya kuongoza na kutawala.Rais ni Mkuu wa Nchi,kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

Kwa Tanzania Rais ni alama na taswira ya Jamhuri ya Muungano na watu wake na pia ni alama ya umoja ,uhuru wa nchi na mamlaka yake!

Sasa inawezekanaje Kiongozi Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama vya nchi ukataka alinganishwe na mjumbe au mbunge au waziri? Hilo haliwezekani fuatilia nchi zote ambazo wamekubali upuuzi huu utaona marais wao ni kama mapambo tu na wana jina lao eti wanabaki kuwa Ceremonial hawana mamlaka ya maamuZi ya nchi wapo wapo tu, hili halikubaliki Tanzania Rais ni MAMLAKA hata UKAWA wanalijua hili ndo maana wanajaribu jaribu kuungana wakiamini kuwa watashinda nafasi ya Urais nao wawe na kiongozi mwenye mamlaka katika nchi.

Mungu Ibariki Tanzania!

Nawasilisha!
 
Attachments

  • topcombofr.jpg
    topcombofr.jpg
    97 KB · Views: 71

Similar Discussions

Back
Top Bottom