SIDANGANYIKI2015
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,054
- 114
Kuna maada hapa!!????
Huu uharoo usiokuwa na tafakuri ya kutosha unatujia server tu..
Yap kama ni uharo unatafuta nini hapa au wewe mwenyewe ndio unautoa!
Kuna maada hapa!!????
Huu uharoo usiokuwa na tafakuri ya kutosha unatujia server tu..
Hii sio debate.. Utakuwa na tatizo kama utaiita hii ni debate.. Ndo maana ckupata shida kuandika niliyoyaandika.. Ungemsaidia kumjibia kwa kutaja hizo nchi ambazo zimeathirika kwa mfumo huu wa kupunguziwa madaraka..
Vinginevyo huna sababu ya msingi ya kuandika ulichoandika..
Acha kujikomba wewe wala hujatumwa tatizo lenu ni walewale msiojielewa swali na msingi limeulizwa toa majibu kwanza acha kujificha afu unabakia hapohapo kama kobe!
1. Ninajikomba kwa nani..?
2. Sijatumwa na nani..? Au kuna habari za kutumwa hapa ili kuja kuchangia hii..?
3. Swali gani lililotolewa hapa wakati mleta mada amesha-conclude mawazo yake..?
4. Ninajificha wapi sasa hapa..? Ina maana kobe hatembei..?
Ngoja nikae kimya mie..
Lakini pia hatutaki katiba km ya kwetu ambayo inamfanya rais kuwa dampo la madaraka!!!!
Kama ukikumbuka maneno ya Mwalimu, tusitegemea nchi kuendeshwa na mawazo ya mtu aliyeshauriwa na mkewe au rafiki zake bali ile kujua mustakabali wa mtu binafsi na taifa uwe katika katiba ya nchi.
Nafikiri unachotaka kutwambia ni kuwa rais akiamka asubuhi na kuamua kuahirisha uchaguzi mkuu iwe sawa tu maana ana mamlaka hayo! Na bora hata ya hawa waliopo maana siku nchi ikishikwa na watu dizaini ya mzee wa kilalacha ndio utajua Mzee Warioba na wanatume wenzake ubongo wao ni mkubwa kiasi gani kuyaona haya mapema na wanaoyakataa ni finyu kiasi gani pia.
Kama ukikumbuka maneno ya Mwalimu, tusitegemea nchi kuendeshwa na mawazo ya mtu aliyeshauriwa na mkewe au rafiki zake bali ile kujua mustakabali wa mtu binafsi na taifa uwe katika katiba ya nchi.
Nafikiri unachotaka kutwambia ni kuwa rais akiamka asubuhi na kuamua kuahirisha uchaguzi mkuu iwe sawa tu maana ana mamlaka hayo! Na bora hata ya hawa waliopo maana siku nchi ikishikwa na watu dizaini ya mzee wa kilalacha ndio utajua Mzee Warioba na wanatume wenzake ubongo wao ni mkubwa kiasi gani kuyaona haya mapema na wanaoyakataa ni finyu kiasi gani pia.
Nenda kaisome vizuri Katiba Inayopendekezwa utaona ninachosema hapa!na utapata maana ya nafasi ya Rais na madaraka yake na pia ni wakati gani yeye kama Rais anaweza kuamua jambo bila kufuata ushauri wowote au kufuata ushauri kutokana na uhuru wa maamuZi kwa mujibu wa Katiba!
Usipoteze muda wako Rais ni mamlaka,ni madaraka kama hulijui hilo kawaulize wezio wa UKAWA!View attachment 252786
Sio mamlaka na madaraka ya kipumbavu km tunayompa sisi. kuna faida gani kupewa nafasi ya kuteua wabunge? Alafu uteuzi mwingi hauthibitishwi na bunge
Inaelekea unaota wewe unataka bunge lithibitishe vingapi acha kuchanganya mambo!unapinga tu bila kuelewa naongea kitu gani isitoshe Kipengele kinachomuhusu Rais ndani ya
katiba inayopendekezwa haujakisoma wewe!Mamlaka ya uteuzi kwa Rais hauepukiki hakuna Rais kokote duniani asiyekua na mamlaka ya kuteua!Isitoshe wananchi ndo kauli ya mwisho juu ya mustakakabali wa taifa lao na bila shaka wanafanya maamuzi sahihi!
Hata km wewe ni mtumwa kiasi hicho cha kumwabudu rais, lkn narudia tena
Sio mamlaka na madaraka ya kipumbavu km tunayompa sisi. kuna faida gani kupewa nafasi ya kuteua wabunge? Alafu uteuzi mwingi hauthibitishwi na bunge
Kama umeishiwa hoja lala kijana maana unachokiongea ni povu tupuHata km wewe ni mtumwa kiasi hicho cha kumwabudu rais, lkn narudia tena
Sio mamlaka na madaraka ya kipumbavu km tunayompa sisi. kuna faida gani kupewa nafasi ya kuteua wabunge? Alafu uteuzi mwingi hauthibitishwi na bunge
Tunataka mamlaka ya kuwa 'kiongozi wa serikali' apewe waziri mkuu na Rais abaki tu kuwa amiri jeshi mkuu na mkuu wa nchi. Tuchague ama presidential system au parliamentary. Haiwezekani useme mawaziri watolewe bungeni then useme Rais awe both mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali. Je, ikitokea chama alichotokea rais sicho chenye wabunge wengi bungeni?Kuna baadhi ya watu fulani wamekuwa na hasira kuhusu mamlaka ya Rais yaliyoanishwa kwenye Katiba Inayopendekezwa ile Sura ya nane,Kuanzia Ibara ya 80 mpaka 98. Watu hao wamefikia hatua ya kutaka apunguziwe mamlaka huku wengine hasira zao zikipitiliza wakitaka hata yale aliyonayo yaondolewe yote kabisa abaki kama mtumishi wa kawaida!
Jambo la kunishangaza ni pale watu hao wanaposhindwa kuelewa kuwa mamlaka au heshima ya mfalme ni wingi wa watu wake!wanashindwa kuelewa kuwa Mamlaka ya Rais ni wingi wa kura zake,hawezi kulinganishwa na mtu yeyote katika nchi na Katiba Inayopendekezwa ambayo wananchi wataipigia kura imelizingatia hili.
Kwa mujibu wa Katiba ya 1977 Tanzania tunao utaratibu wa kumpata Rais kupitia sanduku la kura (nguvu ya umma) ambazo humpa Mamlaka ya kuongoza na kutawala.Rais ni Mkuu wa Nchi,kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.
Kwa Tanzania Rais ni alama na taswira ya Jamhuri ya Muungano na watu wake na pia ni alama ya umoja ,uhuru wa nchi na mamlaka yake!
Sasa inawezekanaje Kiongozi Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama vya nchi ukataka alinganishwe na mjumbe au mbunge au waziri? Hilo haliwezekani fuatilia nchi zote ambazo wamekubali upuuzi huu utaona marais wao ni kama mapambo tu na wana jina lao eti wanabaki kuwa Ceremonial hawana mamlaka ya maamuZi ya nchi wapo wapo tu, hili halikubaliki Tanzania Rais ni MAMLAKA hata UKAWA wanalijua hili ndo maana wanajaribu kuungana wakiamini kuwa watashinda nafasi ya Urais nao wawe na kiongozi mwenye mamlaka katika nchi.
Mungu Ibariki Tanzania!
Nawasilisha!
Kama umeishiwa hoja lala kijana maana unachokiongea ni povu tupu
Tunataka mamlaka ya kuwa 'kiongozi wa serikali' apewe waziri mkuu na Rais abaki tu kuwa amiri jeshi mkuu na mkuu wa nchi. Tuchague ama presidential system au parliamentary. Haiwezekani useme mawaziri watolewe bungeni then useme Rais awe both mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali. Je, ikitokea chama alichotokea rais sicho chenye wabunge wengi bungeni?
Lakini kwa context ya Tanzania I think parliamentary is best. Rais awe ni mmoja tu (kwa Zanzibar na Tanganyika) na awe kiashiria cha umoja na uhalali wa taifa letu. Awe ni mtu ambaye ni above siasa.
Anayestahili kuabudiwa ni Mungu peke yake huwezi kunidanganya kwa lolote hakuna madaraka ya kipumbavu otherwise usingekuja hapa kuchangia kama unajua tunazungumzia madaraka ya kipimbavu!Huwezi kumfananisha rais na mjumbe wa nyumba kumi soma na tafuta marais wa nchi nyingine wanafanya nini usipende kurukaruka!Kasome katiba Inayopendekezwa utapata cha kuzungumza.
Nona unapoteza muda bure. Sijui umekula maharage ya wapi wewe......NAKUACHA NA UJINGA WAKO ILA NAAMINI UTAELEWA MBELE YA SAFARI