Katiba Inayopendekezwa kukosa maadili ya Viongozi ni sawa?

mkalachaka

Member
Jan 17, 2007
12
0
Mwenzenu nimesoma Katiba inayopendekezwa lakini ninapata kigugumizi kwa kuona BMK imeondoa mapendekezo mazuri yaliyokuwa kwenye Rasimu ya Pili ya Katiba iliyowasilishwa na Tume.

MMoja wa wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amejaribu kuchambua mapungufu hayo ambayo nimeona ni vyema tukachangia kwa pamoja kwa faida ya Nchi yetu.

Hapa nayaambatanisha ili kila mwana jamii apate kuyapitia.
 

Attachments

  • Sababu za kusema Hapana kwa Katiba Inayopendekezwa2.pdf
    17.6 KB · Views: 132
Back
Top Bottom