Katiba imeshampa Ushindi Mgombea wa CCM kabla ya Uchaguzi, Vyama vingi Kiini macho

Safari hii matokeo tunakusanya na kujumlisha na kisha tunafananisha ha ya tume!Yakienda mrama ni barabarani!Lazima sanduku la kura liheshimiwe!

CCM imewekeza kwenye rafu kupora ushindi,ole wao maana safari hii mtaelewa!
 
raisi anaapishwa baada ya muda gani toka atangazwe kushinda?
Sikumbuki Ila usiseme baada ya muda gani ila neno kisheria linalotumika kama kumbukumbu zangu ziko sawa ni "ndani ya kipindi fulani toka kutangazwa",yaani isizidi kipindi fulani!
 
mtu ni Rais then anapiga kampeni achaguliwe kuwa Rais. tuna katiba mbovu sana
 
Sikumbuki Ila usiseme baada ya muda gani ila neno kisheria linalotumika kama kumbukumbu zangu ziko sawa ni "ndani ya kipindi fulani toka kutangazwa",yaani isizidi kipindi fulani!
Speculation zako weka kando mkuu haya maswala ni mambo makubwa sana sjui kama unalijua hilo ndo maana nakwambia check your facts kwanza ukshapata uhakika then njoo tena tujadili vizuri.

Haimaanishi natetea system ila sio sawa kupotosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…