Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
Safari hii matokeo tunakusanya na kujumlisha na kisha tunafananisha ha ya tume!Yakienda mrama ni barabarani!Lazima sanduku la kura liheshimiwe!Ni ukwel mchungu, ukiachilia mbali hayo... Njia nzuri ya kupambana na adui cha Kwanza kubali uwezo wake alaf utafte udhaifu wake upitie hapo, CCM inatambua uwezo wa Chadema na inatambua udhaifu wao , na ndo mana Kwa miaka mitano wamepambana na Chadema kufa na kupona, miez hii miwili ya kampeni wanasuuuza tuu , mitambo yote imetegeshwa kuleta ushindi...
CCM imewekeza kwenye rafu kupora ushindi,ole wao maana safari hii mtaelewa!