Katiba ibadilishwe Rais Samia atawale hadi 2040

Ili tufurahie utawala bora unaojali demokrasia na utawala wa sheria Rais Samia anatakiwa awe mtawala wa dunia nzima na malkia wa ulimwengu mzima.
 
Tuliandaa hoja ya magufuli atawale milele

Tukaja na mpango wa miaka 7 kwa Magufuli

Hatukukataa tamaa tukaanza kampeni hadi tibithiii kwamba mwendazake atawale hadi 2040

Sasa naona na Samia mumpigie chapuo? Kwani mataga mnakwama wapi? Kwani si anaupiga mwingi jamani? Tozo mnaziona? machinga mnawaona? Makato jee? kodi za jengo jee? Mbowe si kafungwa jamani?

Sasa kwa mazuri hayo ndugu mataga kwanini msianzishe kampeni ya kuongezewa muda

Kwani mataga si tumekubaliana kwamba anaupiga mwingi sasa kwanini hamtaki kumpigia debe aongezewe muda?

Aisee muongezeeni muda bhana wananchi tunampenda tozo zinajenga nchi sasa
Mwambieni kwamba aongezewe muda tu. Hangaya kipenzi chetu

Mimi naona waccm mataga sasa wamnadi ssh aongezewe muda?kwanini hangaya hapigiwi debe?au hangaya hafai jamani

Aisee au mnasemaje mataga? Huyo bibi enu si mumnadi jamani hadi 2040 au wote mmenyooshwa
Hii tabia ya kujipendekeza sio nzuri.
 
Mh.Rais Samia ni mwanadiplomasia haswa.....

Mh.Chifu Mkuu Hangaya anakijua vyema CCM....anaujua vyema utamaduni wake....utamaduni wa Tanzania na watu wake.....

Yeyote mwenye kutaka KUIBADILI KATIBA ili aongeze/aongezewe muda wa UTAWALA si mtu mzuri na si mzalendo wa taifa hili BORA kuliko yote Afrika💪

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA
NCHI KWANZA

View attachment 1995015
Tunaezeka lini nyumba yetu hii.?

Kwa ufupi nashauri tena kwa unyenyekevu naomba pia atupe ratiba kamili ni lini tutamalizia ujenzi wa nyumba yetu. Hii itatutia hamasa kubwa zaidi kukamilisha ujenzi. Asante sana kwa kufikisha ujumbe wangu.

Naunga mkono hoja ya rais.
 
Tuliandaa hoja ya magufuli atawale milele

Tukaja na mpango wa miaka 7 kwa Magufuli

Hatukukataa tamaa tukaanza kampeni hadi tibithiii kwamba mwendazake atawale hadi 2040

Sasa naona na Samia mumpigie chapuo? Kwani mataga mnakwama wapi? Kwani si anaupiga mwingi jamani? Tozo mnaziona? machinga mnawaona? Makato jee? kodi za jengo jee? Mbowe si kafungwa jamani?

Sasa kwa mazuri hayo ndugu mataga kwanini msianzishe kampeni ya kuongezewa muda

Kwani mataga si tumekubaliana kwamba anaupiga mwingi sasa kwanini hamtaki kumpigia debe aongezewe muda?

Aisee muongezeeni muda bhana wananchi tunampenda tozo zinajenga nchi sasa
Mwambieni kwamba aongezewe muda tu. Hangaya kipenzi chetu

Mimi naona waccm mataga sasa wamnadi ssh aongezewe muda?kwanini hangaya hapigiwi debe?au hangaya hafai jamani

Aisee au mnasemaje mataga? Huyo bibi enu si mumnadi jamani hadi 2040 au wote mmenyooshwa
Usi mlinganishe Magu na watu wengine.

Ngoja niishie hapo tu.
 
Hiyo sisi hatuna shida nayo sema uchaguzi uwe wa haki hadi ndani ya chama ,maana mama hatakuwa na wakati mgumu sana 2025 kama atathubutu kugombea mzanzibari awezi kuwa raisi wa JMT kutokana na mabadiliko ya muungano yanayozidi kuipa zanzibar utaifa kamili tofauti na dira ya muungano wa kipindi nyerere ,kwa sasa zanzibar ni nchi hivyo hatuwezi kukubali mzanzibari kutuongoza kwa namna yoyote
 
Tuliandaa hoja ya magufuli atawale milele

Tukaja na mpango wa miaka 7 kwa Magufuli

Hatukukataa tamaa tukaanza kampeni hadi tibithiii kwamba mwendazake atawale hadi 2040

Sasa naona na Samia mumpigie chapuo? Kwani mataga mnakwama wapi? Kwani si anaupiga mwingi jamani? Tozo mnaziona? machinga mnawaona? Makato jee? kodi za jengo jee? Mbowe si kafungwa jamani?

Sasa kwa mazuri hayo ndugu mataga kwanini msianzishe kampeni ya kuongezewa muda

Kwani mataga si tumekubaliana kwamba anaupiga mwingi sasa kwanini hamtaki kumpigia debe aongezewe muda?

Aisee muongezeeni muda bhana wananchi tunampenda tozo zinajenga nchi sasa
Mwambieni kwamba aongezewe muda tu. Hangaya kipenzi chetu

Mimi naona waccm mataga sasa wamnadi ssh aongezewe muda?kwanini hangaya hapigiwi debe?au hangaya hafai jamani

Aisee au mnasemaje mataga? Huyo bibi enu si mumnadi jamani hadi 2040 au wote mmenyooshwa
Wacha akutawale wewe hadi mwaka 2040.
 
Unaempigia debe anapaswa kung'atuka mara moja😁😁😁
 
Back
Top Bottom