Kati ya Zitto na Mnyika nani mjamaa?

Kati ya Zitto na Mnyika nani mjamaa?

Kama humjui mnyika NENDA MILEMBE.......this platform is too heavy to be carried by tabularasa like you...............ukishatoka milembe pitia pale kwa mama makinda pia atakusaidia kukufafanulia ni nani huyo..............hapa tuache wenye mosuli ya ubongo pekee.samahani kama nimekukwaza lakini.niwie radhi ndivyo nilivyo,majihu yangu yapo straight sana

You are suffering from what we call OBSESSIVE-COMPULSIVE DISORDER.

It's absurd for you to force me to know someone whom I don't know actually!,
Shame On U!
 
Hata ungeandika kingereza,kihindi au kitaliano,vyovyote vile kama humjui mnyika we kwako ni MILEMBE TUH
 
Ewe ndugu yangu, nani kakuambia kuwa ujamaa maana yake ni ulofa?
 
Kwamba umekuja kuuliza au umetumwa na mnyika? wewe umewahi ingia getho kwa mnyika? umefuata nn? getho nini? ili utimize adhma yako na ulevizur jibu ni MNYIKA
 
Mtoa mada amekuja huku akiwa na jibu lake mkononi badala ya kusubiri kuona wadau wanalipi juu hilo swali lake.....nadhani liko bayana kwamba humpendi Zitto na badala yake unamsifia mnyika kma ilivyo kwenye uzi wako.

Sidhani kama Mnyika yuko tu hvyo ulivyomfananisha na Zitto. Tuache chuki ambazo hazina tija na hilo ndilo tatizo kwa siasa za kwetu Tanzania
 
Mnyika anatumia gari aina ya VITZ mpaka Leo hii.

Zitto Hammer.frelander .Range
 
Hakuna hata mmoja aliye socialists kati yao so as any political party ndani ya Tanzania, watu wanaojiita wajamaa Tanzania ni wahuni tu.

Kuna tofauti kubwa sana kuwa mjamaa na kuwa a social concious person.

Watu kama kina Bill Gates na matajiri wengine wengi ni philanthropists je hawa nao tuwaite wajamaa kwa sababu wanatoa mamilioni ya pesa annually kusaidia causes ambazo zinalenga kusaidia maskini kwa mapenzi yao na wakati tunajua wanabiashara zenye kutafuta maximum profits.

Halikadhalika dunia ya leo inayosukumwa na pressure groups championing causes tofauti hata huko kwenye capitalism kama social inequality (na mishahara midogo), better use of earth resources, social responsibility and ethical consumerism.

Matokeo yake makampuni mengi yenye uwezo mkubwa yanaagalia mishahara inayolipa, mazingira inayowafanyisha watu kazi, impact ya environment kutokana na shughuli zao, kusaidia wanapowekeza kujenga mashule, namna sahihi ya kutumia mazingira uwezi kutumia maji ya kijiji kutupa uchafu wako au kwa shughuli zako bila ya kujenga visima. And many other ethical consideration za leo je hawa nao ni wajamaa?

Mtu mwenye maoni ya kijamaa sio anasema yeye ni mjamaa au anaiamini hiyo itikadi tu; anatakiwa afafanue mbinu sahihi za serikari katika jamii mfano badala ya walimu kukatwa kodi anaweza sema kodi ya walimu ni kubwa kulingana mshahara hivyo lazima waongezewe mishahara au waachwe na serikari inabidi kuangalia jinsi ya kuongeza namna za kuwafanya matajiri walipe zaidi hili kukidhi budget iwapo itaamua kupunguza kodi ya walimu au kuwaongezea mishahara.

Kwa mtaji huo kuwa mjamaa sio kwa sababu ya nguo zako unazo vaa ni misimamo yako ya kisera juu kuliendesha taifa na mbinu sahihi zenye maslahi ya kuinua maisha ya walio chini sio kujiita tu ndio kunatosha.

Hakuna chama cha siasa cha kijamaa ndani ya Tanzania na wala huyo mwanasiasa kwa sasa walau CCM ina misingi ya ujamaa bado kwenye utoaji wa huduma za jamii.
 
Wakuu nimeona leo ni vema tudadavue juu ya dhana ya uongo anayo jipambanua nayo ZITTO kwa siku za hivi karibuni eti ya kuwa kwamba yeye ana unyerere na ujamaaa!!!

Tujiulize kupitia mfano wa kijana mdogo sana kwenye siasa za nchini,achilia mbali baba wa Taifa Nyerere anayeta kufanana naye
1.wakati ZITTO anaendesha Hammer kama gari ghali na la kifahari ya million zaidi ya 300 Mnyika kwa ubunge wake wote ana Toyota Vitz tuh ya isiyo zidi hata million 10.

2.wakati Zitto ni mtu wa kunufaika na feva za mashirika ya umma kama NSSF walimuonga Appartment aliyokuwa anaishi mama yake Tabata segerea,na akawa anaishi UDSM alikopewa makazi mchumba wake.mwenzie Mnyika
mpaka leo anaishi ghetto paepale sinza.

3.wakati Zitto mavazi yake ni suti za guchi na gharama kama bepari la kisasa ukiondoa yale magwanda aliyo lazimika kuyachoma motto,ajawahi kuvaa hata kaunda inayo fanana na zile za nyerere ili aonekane ni mnyerere,wakati huohuo Mnyika ajawahi kuvaa suti siyo tuh ya gharama bali hata ya kushonesha kwa fundi,vivazi vyake ni kaunda,gwanda na mashati ya batiki au vitenge

4.wakati Zitto anaamua kung'atuka na bunge kukubali kumpa posho zake zote baada ya kuombewa na mkuu wa nchi tofauti na ilivyo kuwa kwa Mansoori wa zanzibar ama Mpendazoe wa ccm 2010,tulitegemea kuona uzalendo wake kwa kukataa fedha ambazo so halali yake.Kama mnyika alivyo kataa posho zote anazopaswa kulipwa na Halamashauri ya Jiji la Dar es salaam,kwa miaka yake yote ya ubunge na kuwaambia wazipeleke kwenye taasisi za elimu na watoto yatima

5.ZITTO anajiita mjamaa wakati palipokuwa jimboni kwake huko kigoma kaskazini hajawahi hata sikumoja kukusanyika na wananchi wake na kufanya jambo lolote la kijamaa kama matengenezo ya barabara na uchimbaji wa mitaro,wakati myika tunaona ujamaa wake kwa kushinda nae kwenye vichochoro vya makurumla na mburahati mpaka manzese midizini na sisi kwa sisi.

6.Wakati Zitto ana akaunti za fedha ujerumani na kweingineko nje ya nchi,na huku waleti yake siku zote anatumia dollar wala siyo shillingi,Mnyika mwenzie anakaunti NMB tuh.benki ya makabwela.

MWISHO NAMALIZIA HIVI HAYO MAISHA YA KUIGIZA YA KIONGOZI MKUU WA ACT,hayana chembe wala vinasaba vya unyerere,Ndiyo maana hapa PRESS na waandishi wa habari huitishia SERENA na siyo kilabuni kwa ndumbiko au chini ya mti
Over.

Sasa hauoni kama mshabiki wa CDM unaanza kuicheza ngoma ya ACT?

Hata kama Mnyika ni Mjamaa kumzidi Zitto, alitakiwa awaeleze watu mapema wajue msimamo wake kuhusu haya mambo. Mwanasiasa ni open book.

Kimkakati Zitto amewazidi marks, ndio maana hata kesho Slaa akitangaza mali zake na zikawa robo ya zile za Zitto, hatakuwa na impact kwani ataonekana ni reactionary.

Ni muda muafaka CDM kutafuta Sera, Ajenda za kwao wenyewe, na kuacha kudandia Ajenda za wengine. Hata Zitto leo hii akija na Ajenda za Maandamano,kuvaa gwanda n.k nitamuona kama anadandia mambo ya CDM,
 
Mbona maandishi yako yanakinzana na uhalisia alionao Mnyika, au ulikuwa unaandika huku umesinzia.

Nani kakwambia kuwa mjamaa ni kuwa masikini?
Ujamaa ni Undugu, na kuishi kindugu hakumaanishi umasikini.
 
Mtoa mada huna akili hata robo na unaendeshwa na chuki binfsi ambayo haitokusaidia maishani mwako.Mbaya zaidi hujui jambo lolote kuhusu Zitto wala mnyika.
Wakuu nimeona leo ni vema tudadavue juu ya dhana ya uongo anayo jipambanua nayo ZITTO kwa siku za hivi karibuni eti ya kuwa kwamba yeye ana unyerere na ujamaaa!!!

Tujiulize kupitia mfano wa kijana mdogo sana kwenye siasa za nchini,achilia mbali baba wa Taifa Nyerere anayeta kufanana naye
1.wakati ZITTO anaendesha Hammer kama gari ghali na la kifahari ya million zaidi ya 300 Mnyika kwa ubunge wake wote ana Toyota Vitz tuh ya isiyo zidi hata million 10.

2.wakati Zitto ni mtu wa kunufaika na feva za mashirika ya umma kama NSSF walimuonga Appartment aliyokuwa anaishi mama yake Tabata segerea,na akawa anaishi UDSM alikopewa makazi mchumba wake.mwenzie Mnyika
mpaka leo anaishi ghetto paepale sinza.

3.wakati Zitto mavazi yake ni suti za guchi na gharama kama bepari la kisasa ukiondoa yale magwanda aliyo lazimika kuyachoma motto,ajawahi kuvaa hata kaunda inayo fanana na zile za nyerere ili aonekane ni mnyerere,wakati huohuo Mnyika ajawahi kuvaa suti siyo tuh ya gharama bali hata ya kushonesha kwa fundi,vivazi vyake ni kaunda,gwanda na mashati ya batiki au vitenge

4.wakati Zitto anaamua kung'atuka na bunge kukubali kumpa posho zake zote baada ya kuombewa na mkuu wa nchi tofauti na ilivyo kuwa kwa Mansoori wa zanzibar ama Mpendazoe wa ccm 2010,tulitegemea kuona uzalendo wake kwa kukataa fedha ambazo so halali yake.Kama mnyika alivyo kataa posho zote anazopaswa kulipwa na Halamashauri ya Jiji la Dar es salaam,kwa miaka yake yote ya ubunge na kuwaambia wazipeleke kwenye taasisi za elimu na watoto yatima

5.ZITTO anajiita mjamaa wakati palipokuwa jimboni kwake huko kigoma kaskazini hajawahi hata sikumoja kukusanyika na wananchi wake na kufanya jambo lolote la kijamaa kama matengenezo ya barabara na uchimbaji wa mitaro,wakati myika tunaona ujamaa wake kwa kushinda nae kwenye vichochoro vya makurumla na mburahati mpaka manzese midizini na sisi kwa sisi.

6.Wakati Zitto ana akaunti za fedha ujerumani na kweingineko nje ya nchi,na huku waleti yake siku zote anatumia dollar wala siyo shillingi,Mnyika mwenzie anakaunti NMB tuh.benki ya makabwela.

MWISHO NAMALIZIA HIVI HAYO MAISHA YA KUIGIZA YA KIONGOZI MKUU WA ACT,hayana chembe wala vinasaba vya unyerere,Ndiyo maana hapa PRESS na waandishi wa habari huitishia SERENA na siyo kilabuni kwa ndumbiko au chini ya mti
Over.
 
Wakuu nimeona leo ni vema tudadavue juu ya dhana ya uongo anayo jipambanua nayo ZITTO kwa siku za hivi karibuni eti ya kuwa kwamba yeye ana unyerere na ujamaaa!!!

Tujiulize kupitia mfano wa kijana mdogo sana kwenye siasa za nchini,achilia mbali baba wa Taifa Nyerere anayeta kufanana naye
1.wakati ZITTO anaendesha Hammer kama gari ghali na la kifahari ya million zaidi ya 300 Mnyika kwa ubunge wake wote ana Toyota Vitz tuh ya isiyo zidi hata million 10.

2.wakati Zitto ni mtu wa kunufaika na feva za mashirika ya umma kama NSSF walimuonga Appartment aliyokuwa anaishi mama yake Tabata segerea,na akawa anaishi UDSM alikopewa makazi mchumba wake.mwenzie Mnyika
mpaka leo anaishi ghetto paepale sinza.

3.wakati Zitto mavazi yake ni suti za guchi na gharama kama bepari la kisasa ukiondoa yale magwanda aliyo lazimika kuyachoma motto,ajawahi kuvaa hata kaunda inayo fanana na zile za nyerere ili aonekane ni mnyerere,wakati huohuo Mnyika ajawahi kuvaa suti siyo tuh ya gharama bali hata ya kushonesha kwa fundi,vivazi vyake ni kaunda,gwanda na mashati ya batiki au vitenge

4.wakati Zitto anaamua kung'atuka na bunge kukubali kumpa posho zake zote baada ya kuombewa na mkuu wa nchi tofauti na ilivyo kuwa kwa Mansoori wa zanzibar ama Mpendazoe wa ccm 2010,tulitegemea kuona uzalendo wake kwa kukataa fedha ambazo so halali yake.Kama mnyika alivyo kataa posho zote anazopaswa kulipwa na Halamashauri ya Jiji la Dar es salaam,kwa miaka yake yote ya ubunge na kuwaambia wazipeleke kwenye taasisi za elimu na watoto yatima

5.ZITTO anajiita mjamaa wakati palipokuwa jimboni kwake huko kigoma kaskazini hajawahi hata sikumoja kukusanyika na wananchi wake na kufanya jambo lolote la kijamaa kama matengenezo ya barabara na uchimbaji wa mitaro,wakati myika tunaona ujamaa wake kwa kushinda nae kwenye vichochoro vya makurumla na mburahati mpaka manzese midizini na sisi kwa sisi.

6.Wakati Zitto ana akaunti za fedha ujerumani na kweingineko nje ya nchi,na huku waleti yake siku zote anatumia dollar wala siyo shillingi,Mnyika mwenzie anakaunti NMB tuh.benki ya makabwela.

MWISHO NAMALIZIA HIVI HAYO MAISHA YA KUIGIZA YA KIONGOZI MKUU WA ACT,hayana chembe wala vinasaba vya unyerere,Ndiyo maana hapa PRESS na waandishi wa habari huitishia SERENA na siyo kilabuni kwa ndumbiko au chini ya mti
Over.
Hakuna mjamaa kutokana na maana yake
 
wakuu nimeona leo ni vema tudadavue juu ya dhana ya uongo anayo jipambanua nayo zitto kwa siku za hivi karibuni eti ya kuwa kwamba yeye ana unyerere na ujamaaa!!!

Tujiulize kupitia mfano wa kijana mdogo sana kwenye siasa za nchini,achilia mbali baba wa taifa nyerere anayeta kufanana naye
1.wakati zitto anaendesha hammer kama gari ghali na la kifahari ya million zaidi ya 300 mnyika kwa ubunge wake wote ana toyota vitz tuh ya isiyo zidi hata million 10.

2.wakati zitto ni mtu wa kunufaika na feva za mashirika ya umma kama nssf walimuonga appartment aliyokuwa anaishi mama yake tabata segerea,na akawa anaishi udsm alikopewa makazi mchumba wake.mwenzie mnyika
mpaka leo anaishi ghetto paepale sinza.

3.wakati zitto mavazi yake ni suti za guchi na gharama kama bepari la kisasa ukiondoa yale magwanda aliyo lazimika kuyachoma motto,ajawahi kuvaa hata kaunda inayo fanana na zile za nyerere ili aonekane ni mnyerere,wakati huohuo mnyika ajawahi kuvaa suti siyo tuh ya gharama bali hata ya kushonesha kwa fundi,vivazi vyake ni kaunda,gwanda na mashati ya batiki au vitenge

4.wakati zitto anaamua kung'atuka na bunge kukubali kumpa posho zake zote baada ya kuombewa na mkuu wa nchi tofauti na ilivyo kuwa kwa mansoori wa zanzibar ama mpendazoe wa ccm 2010,tulitegemea kuona uzalendo wake kwa kukataa fedha ambazo so halali yake.kama mnyika alivyo kataa posho zote anazopaswa kulipwa na halamashauri ya jiji la dar es salaam,kwa miaka yake yote ya ubunge na kuwaambia wazipeleke kwenye taasisi za elimu na watoto yatima

5.zitto anajiita mjamaa wakati palipokuwa jimboni kwake huko kigoma kaskazini hajawahi hata sikumoja kukusanyika na wananchi wake na kufanya jambo lolote la kijamaa kama matengenezo ya barabara na uchimbaji wa mitaro,wakati myika tunaona ujamaa wake kwa kushinda nae kwenye vichochoro vya makurumla na mburahati mpaka manzese midizini na sisi kwa sisi.

6.wakati zitto ana akaunti za fedha ujerumani na kweingineko nje ya nchi,na huku waleti yake siku zote anatumia dollar wala siyo shillingi,mnyika mwenzie anakaunti nmb tuh.benki ya makabwela.

Mwisho namalizia hivi hayo maisha ya kuigiza ya kiongozi mkuu wa act,hayana chembe wala vinasaba vya unyerere,ndiyo maana hapa press na waandishi wa habari huitishia serena na siyo kilabuni kwa ndumbiko au chini ya mti
over.

umemaliza..........................
Msalimie mbowe na ondoka jumamosi ukashangae ambulance . M.b.u.l.u.l.a
 
Najua mpo kwemye kikao hapo traveyine hotel,Nangoja mtawanyoke maana hapo mnapolezana raptop tuh.kwi kwi kwi kwi kwi kwi chezea jiwe la gizani wewe
 
Mtoa mada amekuja huku akiwa na jibu lake mkononi badala ya kusubiri kuona wadau wanalipi juu hilo swali lake.....nadhani liko bayana kwamba humpendi Zitto na badala yake unamsifia mnyika kma ilivyo kwenye uzi wako.

Sidhani kama Mnyika yuko tu hvyo ulivyomfananisha na Zitto. Tuache chuki ambazo hazina tija na hilo ndilo tatizo kwa siasa za kwetu Tanzania

EETI Mnyika anaishi geto Sinza pamoja na kuwa mbunge kwa miaka mitano na kuchukua posho zote za bunge.....
 
Back
Top Bottom