Kati ya Yesu na Allah Nani aliye muumba mwenzie?

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,527
Reaction score
8,684
Habari za jioni waumini....

Zifuatazo ni nukuu au maandishi yaliyomo katika vitabu viwili vitakatifu.

Yesu alikuwa amelala akiegemea mto sehemu ya nyuma kwenye ile mashua, Wanafunzi wake wakamwamsha, wakamwambia, “Mwalimu, hujali kwamba tuna zama?’
~ Marko 4:37

Mwenyezi Mungu, hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala.
~ Quran 2:255

SWALI: Kwa kuzingatia vifungu tajwa hapo juu, ni nani aliye na mamlaka juu ya mwenziye?

Je inawezekana Mungu kuamshwa usingizini na wanadamu aliyo waumba?

#BM
 
Yesu ni mwana wa Mungu Na si Mungu
 
1716761954327.jpg
 
Literary, YESU ndiye aliyemuumba the so called Alah.
Yesu ni Mungu na alikuwako kabla ya misingi ya dunia kuumbwa, yani kabla ya Adamu na Hawa.
Alikuja duniani kama Mwanadamu kupitia Miriamu na Yusufu ambapo baaada ya Yesu kuzaliwa Yusufu aliendelea kuzaa watoto wengine na mkewe Miriamu.
 
Back
Top Bottom