Kati ya wanawake 10 mmoja ndo wa asili

Kati ya wanawake 10 mmoja ndo wa asili

Je wanaume hujakutana nao maana kama kusuka tuna suka wote mikorogo kama kawa hadi heleni wanavaa hujawaona?
 
Hata huyo mmoja una bahati sana kumuona mjini.

2017-04-29-14-33-19--1699610189.jpeg
2017-03-02-23-42-43-1580389991.jpeg
2017-03-02-23-41-31-1580389991.jpeg
 
Dah..... Halafu wanakuja wanatafuta real man[emoji86] [emoji86]
 
Hata vyote vikiwa vya asili bado kitandani 'atafake' amefika kileleni.
 
Hv 99% ndio inakuwa 1 kat ya 10???
Anyway hoja yako inaukweli
 
Hahaaa..., ongeza sample size ili upate representative sample kuepuka biasness!!
 
Research yako umetuma sample ngampi. Ukinijbi nami ntafanya ya wanaume. Ntaleta mrejesho

Issue ya sample sio size pekee bali ni aina ya population, na ilivyopatikana.
 
Kwa wale waajiriwa Heri ya Mei mosi
Niende moja Kwa moja kwenye mada
Kwa utafiti mdogo nlioufanya leo nimegundua Kati ya wadada 10 wa mjini nliokutana nao ni mmoja Tu ndo kajiweka kiasili kuanzia kucha,nyusi,rangi ya ngozi mavazi na tabia
Ila 9 waliobakia wapo hivi:-
-Nywele sio zake kavaa wigi (nywele za maiti)
-Rangi ya ngozi sio yake (Kajichubua)
-Kucha sio zake kabandika ndefu(kama Jini shumileta)
-Mavazi kavaa ya kubana hadi K imejichora
-Wengi wamekoleza rangi kwenye nyusi au wamezinyoa na kupaka wanja wa mwendokasi
-Wengi wanajifanya wana tabia za kizungu wakati najua wanatoka uswazi mbaya
Utafiti huu umehusisha sample ya wadada 10
Majibu ya utafiti yanaonesha 99% ya wadada wa mjini wamezikana nafsi zao kuanzia nywele zao,rangi za ngozi zao ,kucha zao na masuala mengine ya kitabia na kimavazi.

Nahitaji recommendation juu ya utafiti wangu.


Ushauri kwako na vijana wengine. Ukikutana na mdada fake, basi juwa huyo si wa kuwa naye....ni wa kumchapa tu kisodoma na Gomorah kisha unamuacha solemba. Hawafai kwani watakutia hasara mpaka utaharisha pasipotarajia.
 
Back
Top Bottom