Hiyo haijalishi,inategemea factors nyingiHahahahahah...mkuu namaanisha chakula ya tumboni.
True..hujaongelea experience.Hiyo haijalishi,inategemea factors nyingi
Pochi
Mazingira
Exposure
Mentality
N.k
Kuna watu hata wakiwa na fedha hawajua kama kuna chakula zaidi ya wali nyama,chipsi kuku,nyama choma...hawa hawana exposure na pia mazingira yako limited.
Kuna wale wanajua vyakula,anaexposurw ya kutosha kuhusu kula...anajua viwanja piza,burger n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikasema chaula kizuri ni pochi yako tu,kuna place wanapika vyakula mpaka unataka kutafuna vidole kwa utamu!!Vipi kama uko single alafu hujui kupika..vyakula vya mitaani vinaweza kuwa salama kwako siku zote?just coz u can afford
Ndio maana nikasema chaula kizuri ni pochi yako tu,kuna place wanapika vyakula mpaka unataka kutafuna vidole kwa utamu!!
Noma kuna wataalamu wa Mapishi aisee,hata Pembeni ya Club ya Simba kuna Restaurant wana vyakula vya ukweli.mandi almaida lumumba chakula kitamu kama wanapika kwa mashine
Inategemeana na kipato chakoNaombeni kujua kutokana na experience yenu mlioa ni kweli ukioa utakuwa unakula vizuri zaidi ya ulivyokua unakula kabla ya kuoa.
Jibu ni ndio au hapana..
Uzi tayari.
kweli kabisa hasa chakula cha usiku ndiyo kitamu zaidi maana unauhakika nachoNdio chakula bora ni kikichotengenezwa nyumbani