Ndalichako ametoa hili tamko wapi ndugu? au chanzo chako ni kipi?Elimu nchini Tanzania Pof.Joyce Lazaro Ndalichako atoa msimamo wa Serikali juu ya wanafunzi waliofukuzwa chuo kikuu cha Dodoma, leo jijini Dar es Salaam, ambapo amesema kuwa kati ya wanafunzi zaidi ya elfu saba waliokuwa wamedahiliwa na kuanza chuo kikuu dodoma ni wanafunzi 382 tu ndio wenye sifa ya kurudi chuoni.
ok shukrani kwa taarifa, ila uwe unaweka chanzo cha uhakika ili kuondoa wasiwasi, maanakuna habari nyingi zimeanzia hapa zimekanushwa sanachanzo redioone mkuu, nimeikopi kama ilivyo
Kuhusu nini?Nasubiri Tamko kutoka kwa UKAWA
sio kila kitu siasaNgoja tuwaone wazee wakumeza
UKAWA wapatie hoja hahaha
Maana sikuhizi wanasubiria lipi kiongozi katamka
Mkuu kipind serikali yenu inaanzisha hii programme mlikuwa mefumba macho? Au ulikuwa ni mradi wa mtu?Nasubiri Tamko kutoka kwa UKAWA
sasa yamefanyika marekebisho 382 watarudi Udom na wengine watakwenda vyuo vya ualimu vya serikali sasa unataka nini tena?Mkuu kipind serikali yenu inaanzisha hii programme mlikuwa mefumba macho? Au ulikuwa ni mradi wa mtu?
Kuna wakati huwa najiuliza sipati jibu kbsa.
Hawa wanafunzi mliwatahini nyiny wenyew mkopo mkawapa, na ahadi nono mkawahidi. Halafu leo mnasema wachache ndio wanasifa.
Inakuwaje mnajichanganya kiasi hichi?
Jibu tafadhali
(mm sio mshabiki wa chama chochote na haitatokea nikashabikia chama chochote sbb ni unafiki na ni utumwa wa kifikra)
hivi umeandika nini hapa BAWACHA? UMESOMA YALIYO ANDIKWA?