Kati ya vitabu vitamu nilivyowahi kuvisoma

Nani kasoma THE MOSES SERIES by Barbara Kimenyi??

1. Moses
2. Moses the camper
3. Moses and the school farm
4. Moses and Mildred
5. Moses and the penpal
6. Moses in trouble
7. Moses and the raffle
8. Moses in a muddle
9. Moses and the man from mars

... Etc..

Hatari sana hizi novels...
 
Enzi nipo shule ya msingi nilikua napenda kusoma vitabu vyenye hadithi tamu sana ila ukiangalia vitabu vya enzi hizi hakuna kitabu kinachonipa hamasa ya kukisoma

Enzi hizo nilisoma hadithi kv tamu kv.
Sizitaki mbichi hizi.

Sadiki na chitemo

Mzee tola
Mua wazamisha meli bukoba

Faraja mchoyo.

We unakumbuka hadithi ipi iliokufurahisha enzi izo?
Wote tuliosoma enzi za baada ya N UHU tulisoma hadithi nzuri sana siku hizi haileweki hadithi inafudisha nini.
 
Sauti kutoka kuzimu.
Ben R. Mtobwa(R.I.P)

Nilikuwa naenjoy sana kazi zake.
 
Nani kasoma THE MOSES SERIES by Barbara Kimenyi??

1. Moses
2. Moses the camper
3. Moses and the school farm
4. Moses and Mildred
5. Moses and the penpal
6. Moses in trouble
7. Moses and the raffle
8. Moses in a muddle
9. Moses and the man from mars

... Etc..

Hatari sana hizi novels...
Hiki sijawai kukiona
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom