kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,362
Mwanafunzi mchafu hawezi kufanya vizuri. Kwakwel pia ni tatzo la utawala, mifumo ya maji (WASH Facilities) ni mbovu sana wanafunzi wanakunya wanachambia magazeti usedNadhani kuna kitu haujaelewa, anataka kujua chuo (sio wanachuo) kipi kati ya Udom na Saut ni bora katika kozi ya LLB kama alivyotanabaisha hapo juu. Kuhusu hoja ya uchafu au usafi wa mwanafunzi sioni kama ina uhusiano upi wa moja kwa moja na chuo chake, vinginevyo ueleze hapa kwa uthibitisho kwamba UDOM kuna sheria na mazingira kandamizi dhidi ya usafi wa mtu.