kama Walimu wenyewe ndio hawa wanaosimamia hizo Interview basi lawama zimfikie Ndalichako na Mitaala ibadilishwe au wafundishwe grammerUmenena ukweli mkuu, vyuo vyetu ni vile vile na wanafunzi wete ni wale wale....kudesa cozi work, kukariri madesa, kujadili kiingereza kwa kiswahili,kujaziana attendence, tofouti unakuja kwa individual student sio kwa chuo as a whole....mimi nime interview wana chuo wengi kutoka vyuo tofauti,vikiwemu Udsm Udom Sauti Mum, lakini hari yao ni moja unakuta wengi cant express them selves in English for 25min. No matter GPA yake ni ngapi.....jambo mhimu ni kurekebisha mitaala yetu shule za msingi na sekondary tupate foundation ndo tutapata product nzuri
Lakini magufuli alisema kujua english sio kigezo cha kuelimika. Au umesahau mkuu?Umenena ukweli mkuu, vyuo vyetu ni vile vile na wanafunzi wete ni wale wale....kudesa cozi work, kukariri madesa, kujadili kiingereza kwa kiswahili,kujaziana attendence, tofouti unakuja kwa individual student sio kwa chuo as a whole....mimi nime interview wana chuo wengi kutoka vyuo tofauti,vikiwemu Udsm Udom Sauti Mum, lakini hari yao ni moja unakuta wengi cant express them selves in English for 25min. No matter GPA yake ni ngapi.....jambo mhimu ni kurekebisha mitaala yetu shule za msingi na sekondary tupate foundation ndo tutapata product nzuri
Lakini mkuu kubali au kataa, hamna mwajiri atakae furahi kuajiri graduate asio jua kiingereza fasaha kwa wakati hu kwenye nafasi nyeti, biashara na good services, it's all about your employee expression, cofedence skills and command of both local and foreign languages to the clients....sasa kama our graduates can't whom do you expect to do it.Lakini magufuli alisema kujua english sio kigezo cha kuelimika. Au umesahau mkuu?
Mkuu hatuwezi kupime vyote kwa mda mfupi,.... ila self expression ndo ya kwanza kwa graduate anae taka kazi ya "public relation" kipimo laisi na cha kwanza ni spoken and self confedence. Ambayo ni shida kubwa kwa ma graduate wetu, wengi hiyo lugha ndo medium of communication kutoka form 1 hadi chuo, how comes that you don't master the language, alikua anafauli je kozi work na mitihani. Ndo maana nasema vyuo vyetu vikuu are the same tofouti ni majina na year of establishment.
Kaka katika watu ambao ni wavumilivu katika maoni ayatoayo mwalimu naweza nikasema ni mimi,nimevumilia sana makosa yake ya kiuandishi nikampa muda nikajua atajistukia nikaona anazidi tu kukosea.kama Walimu wenyewe ndio hawa wanaosimamia hizo Interview basi lawama zimfikie Ndalichako na Mitaala ibadilishwe au wafundishwe grammer
Oral examination labda iwe katika kiswahili hata kiswahili wanatumia cha mitaani sio fasaha, ila kiingereza ndo shida kumbwa zaidi kwa our graduates ....especially prepositions future tense present continuous tense, past perfect tense..... ukimsikiliza utachoka, kila sentence anaiuganisha na neno "because" wala yeye ashtuki kama kakosea mahara....yeye anaona iko "deep sana" ndo aina ya ma graduate wetu.Mjitahidi muwe na oral exams Hasa Hivi vimitihani vya Muda mfupi. Itawasaidia sana. Hasa kwa masomo ya kujieleza. Inapunguza kukariri na kuleta uelewa.
Duuh.. sasa inakuaje mkuu..Mkuu si shauri chuo chochote kati ya hivyo,,maana navifahamu vizuri.
Hata waliosoma hivyo vyuo ni mashahidi tosha.