Kati ya UDOM na SAUTI wapi bora?

Kati ya UDOM na SAUTI wapi bora?

Regnatus Cletus

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,114
Reaction score
959
Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha sita anataka ku appy bachelor degree.

Ni wapi mahali bora zaidi kwa maana ya wahadhiri, mazingira, na ubora wa elimu kati ya chuo kikuu UDOM na sauti???
 
Anataka kuchukua kozi gani? maana kila chuo kina uhodari wake kwenye kozi Fulani mfano Kwenye Journalism SAUT wako kwenye Ubora.
 
Vyuo vingi bongo havitofautiani sana kwenye ubora na ubovu..

Umenena ukweli mkuu, vyuo vyetu ni vile vile na wanafunzi wete ni wale wale....kudesa cozi work, kukariri madesa, kujadili kiingereza kwa kiswahili,kujaziana attendence, tofouti unakuja kwa individual student sio kwa chuo as a whole....mimi nime interview wana chuo wengi kutoka vyuo tofauti,vikiwemu Udsm Udom Sauti Mum, lakini hari yao ni moja unakuta wengi cant express them selves in English for 25min. No matter GPA yake ni ngapi.....jambo mhimu ni kurekebisha mitaala yetu shule za msingi na sekondary tupate foundation ndo tutapata product nzuri
 
Hoja yako ya msingi iko sahihi. Kuwa vyuo vingi vinatoa product mbovu. Ila sikubaliani na wewe unapo pima uwezo wa MTU kwa kujua kujielezea kwa kiingereza kwa dk 25.
 
Mkuu hatuwezi kupime vyote kwa mda mfupi,.... ila self expression ndo ya kwanza kwa graduate anae taka kazi ya "public relation" kipimo laisi na cha kwanza ni spoken and self confedence. Ambayo ni shida kubwa kwa ma graduate wetu, wengi hiyo lugha ndo medium of communication kutoka form 1 hadi chuo, how comes that you don't master the language, alikua anafauli je kozi work na mitihani. Ndo maana nasema vyuo vyetu vikuu are the same tofouti ni majina na year of establishment.
 
Mimi huwa naona lugha ya kwenye notsi ni tofauti na ya kuongea.(japo vinaweza Ku fanana). Mfano mdogo tu kiswahili cha kwenye vitabu (kama kamusi) ndio kiswahili fasaha. Ila jiulize ni watanzania wangap wanaongea kiswahili sahihi kama cha kwenye kamusi?
Ni vigumu graduate kushindwa kuongea lugha ya kiingereza hata cha kuombea maji ila anaweza akawa ana lack of confidence. Kwamba hicho kitu hata ukimwambia ajielezee kwa kiswahili anashindwa tu.

Point yangu ni hii. Tatizo kubwa sio lugha tatizo kubwa ni content anayo toka nayo shuleni mwanafunzi. Hii inaweza kuboreshwa kwa kubadili mitaala.

Swala La MTU kujiamini, hiyo inabidi malezi ya watoto. Kuanzia Nyumbani na jamii kwa ujumla nayo ibadilike. Watoto waishi kwa kujengewa kujiamini.
 
Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha sita anataka ku appy bachelor degree.

Ni wapi mahali bora zaidi kwa maana ya wahadhiri, mazingira, na ubora wa elimu kati ya chuo kikuu UDOM na sauti???
Mimi hupendelea kujua program gani mtu anataka na ndio ushauri ufuatie. Hivyo mkuu kwa msaada zaidi eleza huyo kijana anataka akasome nini?
 
Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha sita anataka ku appy bachelor degree.

Ni wapi mahali bora zaidi kwa maana ya wahadhiri, mazingira, na ubora wa elimu kati ya chuo kikuu UDOM na sauti???
Aombe kote. Akishapata ndio uje kuomba ushauri... Vyuo vyote vinavyotambulika na TCU vina 'ubora sawa'...
 
Umenena ukweli mkuu, vyuo vyetu ni vile vile na wanafunzi wete ni wale wale....kudesa cozi work, kukariri madesa, kujadili kiingereza kwa kiswahili,kujaziana attendence, tofouti unakuja kwa individual student sio kwa chuo as a whole....mimi nime interview wana chuo wengi kutoka vyuo tofauti,vikiwemu Udsm Udom Sauti Mum, lakini hari yao ni moja unakuta wengi cant express them selves in English for 25min. No matter GPA yake ni ngapi.....jambo mhimu ni kurekebisha mitaala yetu shule za msingi na sekondary tupate foundation ndo tutapata product nzuri
True mkuu..nikisemaga hivi watu wanaonega kama nimeongea upumbavu.
 
Wanafunzi wa udom wachafu kunuka huez fananisha na wa SAUT bab

Nadhani kuna kitu haujaelewa, anataka kujua chuo (sio wanachuo) kipi kati ya Udom na Saut ni bora katika kozi ya LLB kama alivyotanabaisha hapo juu. Kuhusu hoja ya uchafu au usafi wa mwanafunzi sioni kama ina uhusiano upi wa moja kwa moja na chuo chake, vinginevyo ueleze hapa kwa uthibitisho kwamba UDOM kuna sheria na mazingira kandamizi dhidi ya usafi wa mtu.
 
Back
Top Bottom