Kati ya tv hizi ipi achukue

Kati ya tv hizi ipi achukue

Mkuu na mimi naomba unisaidie Kwa Tshs. 600K nitapata TV ipi nzuri ya LED na yaweza kuwa Nchi Ngapi?

Unapata inch 32 mkuu, brand za kichina bei around 450k na brand kubwa bei around 550k, za inch 40 naona nyingi ni around 700k
 
Sishangai kwann bei za tv zanzibar ziko chini. Nadhan wauzaji kuna vitu wanawapiga watu bila ya mwenyewe kujijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajua watu wengi wanaangalia ukubwa na muonekano wa TV.
Hayo ya LCD,LED,OLED hawayajui coz hawana ujuzi na mambo ya Technology so ni juu yetu kuwapa ushauri hawa ndugu zetu wanaopenda kujiripua ZNZ
 
Ni kweli kabisa mtu anaangalia ukubwa wa kioo tu, inchi ngap shughuli imekwisha.
Wanajua watu wengi wanaangalia ukubwa na muonekano wa TV.
Hayo ya LCD,LED,OLED hawayajui coz hawana ujuzi na mambo ya Technology so ni juu yetu kuwapa ushauri hawa ndugu zetu wanaopenda kujiripua ZNZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kanuni ipi inatumika kujua chombo chako cha umeme kinakula unit kiasi gani?

Kuna jamaa aliniambia:
Watts MARA muda unaotumia
GAWANYA KWA 1000

ni sahihi wakuu?
 
Ni kanuni ipi inatumika kujua chombo chako cha umeme kinakula unit kiasi gani?

Kuna jamaa aliniambia:
Watts MARA muda unaotumia
GAWANYA KWA 1000

ni sahihi wakuu?
Mkuu mara nyingi wakiandika ni watts per hour, mfano tv ikiandikwa inatumia watts 200 inamaana ikiwa on inatumika, kila saa 1 itakula watts 200, hivyo masaa 5 inakuwa unit 1 ya tanesco (kama sijakosea hapa)

Sema hio watts wanayoandika mara nyingi ni average kama tv utaeka mwanga mkubwa zaidi ama utatumia vitu vinavyokula umeme zaidi kama vile kuangalia high resolution video basi inazidi hizo watts wanazoandika.
 
hizo ni LCD mzee..ikafata LED...ikafata AMOLED
saiv tuko super AMOLED...
achana na hizo takataka za Zenj bora uchukue mchina wa kisasa..na hakikisha tv inatumia adapter.. sio direct power hizi nirahisi sana kuungua tofaut na ya adopter mara nying kama kuna hitilafu itakufa adpter pekee ambayo unaenda tu shop unanunua mpya inauzwa 10k tu...bye bye mafundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona matangazo ya tv kupatana unguja tv za 4k eti 370000 43" ni kweli mkuu au changala macho

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kama unatuma hata 100k uone mbio atakazotoka huyo muuzaji. Ili usilete lawama humu jichange upate walau 850k utapata smart tv za nchi 43 nyingi tu na brand za kueleweka kabisa zikiwa mpya. Achana na matapeli wa unguja.
 
Huu uzi nilikuwa naupita tu, sijui kitu gani kimeniambia kiufungua.

Nimepata bonge la shule bila kutegemea.
Hata mimi kwa kweli, maana nlichokuwa najua ni kuangalia tu TV ina inchi ngapi na brand kama ni samsung au LG haya mengine ya Ya LCD ,LED na AMOLED kwenye tv nlikua nayafahamu kwenye simu tu...MTOA POST UBARIKIWE SANA!

Sent using Samsung
 
Superamoled 43"shngapi
hizo ni LCD mzee..ikafata LED...ikafata AMOLED
saiv tuko super AMOLED...
achana na hizo takataka za Zenj bora uchukue mchina wa kisasa..na hakikisha tv inatumia adapter.. sio direct power hizi nirahisi sana kuungua tofaut na ya adopter mara nying kama kuna hitilafu itakufa adpter pekee ambayo unaenda tu shop unanunua mpya inauzwa 10k tu...bye bye mafundi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi kwa kweli, maana nlichokuwa najua ni kuangalia tu TV ina inchi ngapi na brand kama ni samsung au LG haya mengine ya Ya LCD ,LED na AMOLED kwenye tv nlikua nayafahamu kwenye simu tu...MTOA POST UBARIKIWE SANA!

Sent using Samsung
Amin tubarikiwe sote..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mm nasubiri jibu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kanuni ipi inatumika kujua chombo chako cha umeme kinakula unit kiasi gani?

Kuna jamaa aliniambia:
Watts MARA muda unaotumia
GAWANYA KWA 1000

ni sahihi wakuu?
Kwa formula hiyo yuko sahihi.. Nijuavyo mimi unit 1 ya tanesco ni watts 1000, sasa tuchukulie mathalani una bulb ya watt 100 maana yake ukitumia ndani ya masaa 10 jnakuwa umetumia watt 1000(100*10) sasa ukichukua (100*10)/1000 ndio unapata hyo uniti 1 kwahyo taa yenye watt 100 inakula unit 1 kama ikitumika ndani ya masaa 10.

Ngoja tusubiri na mchabgo wa wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom