makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,707
- 109,243
Jamaa yangu kaniuliza swali ila nimeona badala ya kumjibu moja kwa moja kwa kile nikifahamu mie nilete hapa yawezekana nikapata maarifa zaidi ya kile nikijuacho.. Kuna tv zipo 3. Anachukuliwa kutokea zanzibar.
1.philips 42''
Bei yake ni 500k
2.panasonic 42'
Bei ni 450k
3. Ni samsung inch 46
Bei ni 550k hii hajatumiwa picha zake wala kupewa details zake vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
1.philips 42''
Bei yake ni 500k
2.panasonic 42'
Bei ni 450k
3. Ni samsung inch 46
Bei ni 550k hii hajatumiwa picha zake wala kupewa details zake vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app