MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Serikali yashindwa kutaja watumishi wa umma ambao wana vyeti feki maana kuna vigogo wengi tu wanatumia vyeti feki mfano ,makonda ,mwigulu nchemba ,ester bulaya nk ndiyo maana serikali imeshindwa kuwagusa wenye vyeti na mtandao wao ambao unatengeneza vyeti feki kwa uhalisia kuna watumishi wengi mno wana vyeti feki hasa askari polisi ,walimu watu wawili wanatumia cheti kimoja na wanafanya kazi serikalini hivi mnashindwaje kuwabaini binafsi Nina mashaka na Elimu ya kairuki màana kesi ya mahindi huwezi ukampa nyani kuiamua ukweli toka mwaka Jana wanahakiki kinachowashinda kipi kuwatangaza hadharani wenye vyeti feki ? Hata kama ni askari mbona vita vya madawa ya kulevya mnawatangaza wahusika mnashindwaje kuwatangaza wenye vyeti feki ?? RAIS magufuli hajaunga mkono swala la vyeti feki yupo namashaka na PhD yake maana vita vya vyeti feki ni saw na dawa za kulevya.