Kati ya Starboy (Wizkid) na Davido nani zaidi!?

Kati ya Starboy (Wizkid) na Davido nani zaidi!?

True Wizkid kaanza kujiita Starboy 2013/14 kabla huyo The Weekend hajatoka,kipindi hiko yupo chini ya Bank W.

Tizama hiyo nyimbo yake ya On Top your matter (2014),mwanzoni kabisa utaona Starboy.

Unakosea mkuu the weeknd kaanza kutoka toka 2011 huko
 
Back
Top Bottom