Kati ya Samsung na Oneplus, ipi ina uwezo mkubwa na Kamera bora?

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Samahani ndugu zangu na poleni na majukumu, leo kulikuwa kuna mada kati ya simu za One Plus na Samsung kuna mdau mmoja amesema kwa sasa hivi samsung haingizi mguu kwa oneplus, vigezo vilikuwa upande wa Kamera na nguvu (powerfully) naomba kujua kati ya Samsung na One Plus simu ipi ina uwezo mkubwa kwa upande wa camera na nguvu?

Samahani kwa maelezo marefu na kiswahili kama ni kibovu.
 
Samsung hapo atashinda

Labla ungemuweka baba ya one plus huawei

Ndio samsung angekalishwa
 
Hujakuwa specific ni Samsung ipi unalinganisha na oppo ipi ,
 
Kulinganisha Camera na nguvu ya simu pamoja na sifa zingine. Unahitajika kulinganisha kati ya model mbili au zaidi ili kuwa na eneo la kushindanishia.

Sema tulinganishe kati ya onePlus ipo na Samsung ipi.
 
Binafsi sidhani kama kuna one plus yoyote inamzidi samsung flagship yoyote ya mwaka huu!
 
Kuwa specific

mfano..Galaxy S20 vs OnePlus 8



Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheki hapo tu sitaki hata kuendelea one plus akaanze darasa la kwanza tenaView attachment 1548174
Screenshot_2020-08-25-23-14-47-83.jpg
 
Kulinganisha Camera na nguvu ya simu pamoja na sifa zingine. Unahitajika kulinganisha kati ya model mbili au zaidi ili kuwa na eneo la kushindanishia.

Sema tulinganishe kati ya onePlus ipo na Samsung ipi......
Tulinganishe one plus 8pro na s 20 utra
 
Tulinganishe one plus 8pro na s 20 utra
Mkuu huu moambano sio fair kwa mtazamo wangu

Kwa namna yoyote ile flagship za hizo simu za wakati mmoja lazima Samsung atatangulia kwa ukubwa wake wa uwekezaji na research
Maoni yangu
 
Back
Top Bottom