Kati ya prof. Lipumba, James Mbatia na dk Slaa nani anafaa kupeperusha bendera ya UKAWA

Poll: Kati ya prof. Lipumba,James Mbatia na dk Slaa nani anafaa kupeperusha bendera ya UKAWA

  • Dr. Slaa

    Votes: 49 87.5%
  • Prof. Ibrahim Lipumba

    Votes: 6 10.7%
  • James Mbatia

    Votes: 1 1.8%
  • Emmanuel Makaidi

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    56
  • Poll closed .
Nani amesema kuwa hao ndio wamepitishwa na vyama vyao? Tungojee kura ya maoni ipite kivyama halafu UKAWA ndio uje.

Hata hivyo akipitishwa DR SLAA kura yangu na familia yangu ya watu kumi atapata.
 
Nafikiri wapinzani wawe makini sana kwenye mchakato wa kumpata mgombea kupitia ukawa.
Tunataka mchakato usiotabirika na utakaovuta hisia za watu.
Mbowe na kundi lake wasipate nafasi ya kuburuza mchakato.
Watu wapewe Uhuru wa kugombea .
Na idadi ya wajumbe wa kupitisha majina iwe sawa kwa vyama vyote vitatu vikubwa ili mgombea ashawishi wjumbe toka vyama vingine vimpe kura.
Kwa mtizamo wangu Tundulisu ni Mgombea bora kuliko wote.Anaweza kuuzika nchi nzima wengine wanawalakini na itakuwa kazi sana kuwauza kwenye baadhi ya maeneo.
 
Namkubali zaidi dr slaa ila kama taratibu za kumpata mgombea zitakuwa za haki na akasimamishwa mtu mwingine mimi nitamkubali tu kwasababu lengo kubwa ni kuing'oa ccm madarakani na kwa hili tunapaswa kuwa makini tusimbague mtu yeyote atakaye simamishwa na UKAWA
 
Babu ni mzee sana mikikimikiki ya kampeni hawezi tena mtamuua kama mtabiri alivyo tabiri mkono mmoja haufanyi kazi mwacheni alee mjukuu wake.[/QUOTE
walaumu ccm kwa kukunyima elimu mpaka ukashindwa kujitambua na wao wanafurahia kukutawala mpaka leo
 
Only 54 VOTERS!... au kwa kuwa hakukuwa na option ya ''none of the above''?

Imagine JF members wangapi wataweza kutembea kwenda kituoni kupiga kura siku ya uchaguzi? Safari bado ndefu!
 
Babu ni mzee sana mikikimikiki ya kampeni hawezi tena mtamuua kama mtabiri alivyo tabiri mkono mmoja haufanyi kazi mwacheni alee mjukuu wake.

kikwetw alianguka mara ngapi? mbona hakuwa mzee na amemaliza muda wake by the way slaa lini kashawahi kuanguka jukwaani kama kikwete?
 
slaa kiboko ya ccm.dr.rais lipumba mkamu was rais mbatia waziri mkuu hiyo ndo serikali ijay
o



UKAWA Isifanye kosa kumsimamisha DR. Slaa ,Lipumba au Mbatia.
Hawa wote wana ukomo wa kukubalika.
Hili halina ubishi.Kuing'oa CCM ni kazi pevu inayohitaji maono ya kutafakari sana na maarifa makubwa ya sayansi ya siasa na jamii.

Hii nchi ina tatizo kubwa kwenye madaraka ukicheza vibaya hupati kitu.
Kampeni chafu zilishajenhwa na zitajengwa zaidi na CCM za padri kuongoza nchi yenye waislam 35-45% . Hapa hakuna muislam atakayemchagua Dr.Slaa milele
Hali kadhalika Lupumba alishachafuliwa na CCM kuwa ni mdini na mpaka video yake ikaonyeshwa.

.Tusijidanganye CCM ilishaweka misingi mikubwa ya kucheza na neno udini hapa Tanzaniana na kuzitoa hizo propoganda ni mpaka ccm itoke madarakani na katiba yao inayowapa watawala nafasi za kuwa miungu watu.

Pili ukanda anaotoka Dr.Slaa na Mbatia unapigwa sana vita na makabila madogo yaliyobaki nyuma kimaendeleo na kielimu. Na ikumbukwe kuwa umaskini na Elimu ndogo ni mtaji mkubwa wa CCM.

Lipumba naye hana mvuto mana hata Ukanda wake wenye watu zaidi ya mil.6 haujawahi kumpa hata kura laki tatu.

Hapa pasipo na shaka Kwa sasa kwenye UKAWA Tundulisi ndiye anayefaa zaidi kuleta ushindi wa kishindo.Ataongeza idadi kubwa ya wapiga kura .Nimepita sana vijiji Tundulisu anatajwa zaidi kwenye ukawa kwa vijana.
Zito kabwe umri na misimamo yake isiyoeleweka inamkosesha urais.
 
Back
Top Bottom