assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
Tueleze facts bila bias viongozo hawa ndio wanaopigiwa chapuo kugombea kupitia UKAWA. Kwa kuzingatia sifa na weledi andika jina na sifa za mmoja unaemuona anafaa zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unatafuta kuwachonganisha hapa wafia siasa
Lipumba hajitambui slaa naye hewa.prof lipumba anafaa
Unawashwa Sio bure
Tunataka rais kijanaLipumba hajitambui slaa naye hewa.
Tunataka rais kijana
Mbowe bana na Lema ndio majembe
matusi hayaruhusiwi hutaki uzi sepa
hembu tueleze facts bila bias viongz hawa wawili ndio wanaopigiwa chapuo kugombea kupitia ukawa. kwa kuzingatia sifa na weledi andika jina na sifa za mmoja unaemuona anafaa zaidi.
matusi hayaruhusiwi.
John Komba wa TOT!