Kati ya Note 1 na galaxy S3 ipi ni simu bora?

Kati ya Note 1 na galaxy S3 ipi ni simu bora?

Mbuty

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
412
Reaction score
239
Wapendwa naomba mnijuze kwakuwa naamini kuna watu wanauzoefu kuliko mimi,sijatumia simu za samsung ila ninataka fanya mabadiliko,kuna mtu anataka anipe simu ila amenipa choice ya simu tajwa hapo juu kwa thamani ya hela yangu aliyonayo, naomba ushauri ipi ni simu bora zaidi kuliko ingine kati ya hizo in terms of perfomance? Maana nimejaribu kuangalia specifications mtandaoni naona kama ziko sawa, asanteni.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Galaxy s3 zaidi kiubora,kwakuwa nazifanyia softwares ila note 1 ningumu kupona ikileta shida kufananisha na s3
 
Asanteni sana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Simu za kizamani hizo tafuta latest models

Asante kwa ushauri wako, ila kwa sasa kuna priorities nyingine muhimu na sio simu,ukisoma vzr utaona ananipa simu kama malipo ya fedha zangu alizonazo nami nikataka kujua ni simu ipi nichukue.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom