Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 499
- 1,125
kwanini uliichagua?ATC nimekosa Mechanical wamenichagua Mechatronics. Sasa hii siitaki
Choose chuo that is more practical-oriented than theoretical-oriented!Wakuu baada ya kumaliza PCM form 6 nilichagua kujiunga na kozi ya Mechanical kwenye vyuo vinne Tanzania, ngazi ya Bachelor Degree
Selection zimetoka. Vyuo ni NIT, DIT, MUST na ATC
ATC nimekosa Mechanical wamenichagua Mechatronics. Sasa hii siitaki
Lakini NIT na MUST nimepata Mechanical ambayo naitaka. DIT nimekosa kabisa nafasi.
Naomba ushauri sasa, hapo inabidi niamue kati ya NIT au MUST kwa hiyo kozi.
Je, mnanishauri niende kusoma chuo kipi? Kipi hapo kiko vizuri kwenye kutoa elimu ya Mechanical kwa sababu nataka niwe vizuri, nina mpango wa kutumia hii knowledge ya Mechanical kwenye maisha yangu baadae hata kama nikikosa ajira
So naomba mnisaidie chuo kipi kipo competetive kwenye kutoa elimu kati ya hivyo viwili
Ahsante
Chuo Bora Cha nyakati zote ni ATC,ilaWakuu baada ya kumaliza PCM form 6 nilichagua kujiunga na kozi ya Mechanical kwenye vyuo vinne Tanzania, ngazi ya Bachelor Degree
Selection zimetoka. Vyuo ni NIT, DIT, MUST na ATC
ATC nimekosa Mechanical wamenichagua Mechatronics. Sasa hii siitaki
Lakini NIT na MUST nimepata Mechanical ambayo naitaka. DIT nimekosa kabisa nafasi.
Naomba ushauri sasa, hapo inabidi niamue kati ya NIT au MUST kwa hiyo kozi.
Je, mnanishauri niende kusoma chuo kipi? Kipi hapo kiko vizuri kwenye kutoa elimu ya Mechanical kwa sababu nataka niwe vizuri, nina mpango wa kutumia hii knowledge ya Mechanical kwenye maisha yangu baadae hata kama nikikosa ajira
So naomba mnisaidie chuo kipi kipo competetive kwenye kutoa elimu kati ya hivyo viwili
Ahsante
Ndio sijui hapo kati ya hivyo viwili kipi kina vitendo sanaChoose chuo that is more practical-oriented than theoretical-oriented!
mfano, VETA wako more practical ie VITENDO kuliko maneno!
Ahsante mkuu, kwa nini NIT unahisi sio sehemu bora kwa MechanicalChuo Bora Cha nyakati zote ni ATC,ila
Kwakua chaguo lako n mechanical na ATC wamekupa fani usiyoipenda,hayo ni maisha yako,fanya ukipendacho ata km kipo kwenye moto. nenda MUST,NIT sikushauri Kwa mechanical engineering.
Nakushauri uende Must mimi nina marafiki zangu mmoja alisomaga Nit mwingine akasoma Must ila wa Must walionekana kule wako serious kidog kuliko wa NitWakuu baada ya kumaliza PCM form 6 nilichagua kujiunga na kozi ya Mechanical kwenye vyuo vinne Tanzania, ngazi ya Bachelor Degree
Selection zimetoka. Vyuo ni NIT, DIT, MUST na ATC
ATC nimekosa Mechanical wamenichagua Mechatronics. Sasa hii siitaki
Lakini NIT na MUST nimepata Mechanical ambayo naitaka. DIT nimekosa kabisa nafasi.
Naomba ushauri sasa, hapo inabidi niamue kati ya NIT au MUST kwa hiyo kozi.
Je, mnanishauri niende kusoma chuo kipi? Kipi hapo kiko vizuri kwenye kutoa elimu ya Mechanical kwa sababu nataka niwe vizuri, nina mpango wa kutumia hii knowledge ya Mechanical kwenye maisha yangu baadae hata kama nikikosa ajira
So naomba mnisaidie chuo kipi kipo competetive kwenye kutoa elimu kati ya hivyo viwili
Ahsante
Nenda NIT. Kwa sasa NIT wanafundisha hadi urubani wa ndege na ndege za kufundishia wanazoAhsante mkuu, kwa nini NIT unahisi sio sehemu bora kwa Mechanical
Sawa mkuu, nimeshafanya maamuziNakushauri uende Must mimi nina marafiki zangu mmoja alisomaga Nit mwingine akasoma Must ila wa Must walionekana kule wako serious kidog kuliko wa Nit
Ahsante naenda MUSTNenda MUST, ni nzuri sana, pia nakushauri usome ELECTRO MECHANICAL ENGINEERING. Itakusaidia baadaye.
Shukrani kwa ushauriNenda NIT. Kwa sasa NIT wanafundisha hadi urubani wa ndege na ndege za kufundishia wanazo
Hata hivyo, ushauri wangu haumaanishi kuwa unaenda kusomea urubani
Nimeshaconfirm MUSTjanja nenda ATC ukifika badili kozi uchukue hiyo unayotaka
Kweli napenda Dar ila nishachagua MUST 😅Write your reply...tatizo wewe unaonekana unapenda kuishi dar hahaha ila chuo bora nenda MUST
Nmeangalia competition tuu Huku nje kwenye soko la ajira,Kwa baadhi waliosoma nit ninaowafaham wapo very shallow Yan,kiasi Cha wao wenyewe kujisemea n heri wangesoma tuu must.tofaut na tuliopita ATC / wale wa mbeya.Ahsante mkuu, kwa nini NIT unahisi sio sehemu bora kwa Mechanical
DIT wamekupiga chini. Vijana hamsomi kwa bidii, matokeo yenu ya kuchechemea.Wakuu baada ya kumaliza PCM form 6 nilichagua kujiunga na kozi ya Mechanical kwenye vyuo vinne Tanzania, ngazi ya Bachelor Degree
Selection zimetoka. Vyuo ni NIT, DIT, MUST na ATC
ATC nimekosa Mechanical wamenichagua Mechatronics. Sasa hii siitaki
Lakini NIT na MUST nimepata Mechanical ambayo naitaka. DIT nimekosa kabisa nafasi.
Naomba ushauri sasa, hapo inabidi niamue kati ya NIT au MUST kwa hiyo kozi.
Je, mnanishauri niende kusoma chuo kipi? Kipi hapo kiko vizuri kwenye kutoa elimu ya Mechanical kwa sababu nataka niwe vizuri, nina mpango wa kutumia hii knowledge ya Mechanical kwenye maisha yangu baadae hata kama nikikosa ajira
So naomba mnisaidie chuo kipi kipo competetive kwenye kutoa elimu kati ya hivyo viwili
Ahsante
Mimi kusoma Advance nilikuwa sitaki, tulibishana sana na wazazi ila mwisho wakashinda wao. Na ni kweli Advance nilikuwa sisomi kihivyo nilikuwa nasubiri tu nimalize. Ila chuo hamna aliyenilazimisha, hii kozi sasahivi naenda kuisoma mwenyewe. Nilikuwa nataka kwenda Diploma ya Mechanical tangu nilivyomaliza form 4 ila wazazi wakanikataliaDIT wamekupiga chini. Vijana hamsomi kwa bidii, matokeo yenu ya kuchechemea.