Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Hii mada naona ni kama, watoto magari yanapita halafu wanaulizana , lipi zuri.
Hayo magari kujibu swali lako , inahitaji specification na performance na mambo mengine ya kitaalam, value for money nk nk.
Zaidi ya hapo naona mada inachangiwa pasipo vigezo vyovyote vya kiufundi, vinavyoweza kuthibitishwa kitaalam

Hayo sasa wewe uka google au consult dealer, hapa hakuna engineer anayetoka katika viwanda hivyo husika, JF sio chuo uje upate mpaka conductivity ya waya wa earth wa RR vs Nissan au Synchronizer za gear box ya Nissan vs Toyota!!!! Au ukute maelezo ya steering rod versus tech ya sensor on steering box!! Mbona huulizi juu ya booster ya RR versus Gas susp ya VX???!!
Wanaopita hapa wanachukua dondoo mengine kila mtu anajiongeza, ukitaka zaid chuo cha usafirishaji panakuhusu mkuu au UD mlimani iko kitengo!!!!!
Automob engineering vik vyuo mtu mzima join uje ufungue darasa!!

We mtu mzima tuache watoto hii ndio pleasure yetu.
 
jamaa yangu Bulldo hapo TOYOTA anatisha hasa dk ya 5:00 alivyomaliza kilima na jiwe lake Jeep wala Hammer hawakuweza hata angeingia Mitsubishi Pajero (ya Sahara Rally) Benz wala NISSAN ni mweleka tu
jamani Bravoo TOYOTA ngoja nitafute na hizo clip nyingine ambazo naambiwa umeziweka humu Mnyenz ungekuja pande hizi ukaona maajabu ya milimani

hebu kaingize hako kagari kako ka SUBARU kwenye hii milima yetu ya Kondoa au Ngulu Suji -Makanya same kama hakakupasua injini
VX-V8 ni habari ingine (tazama Video hiyo halafu uje na lingine sio Impreza v/s VX)

Nadhani hujanielewa mkuu, soma comment yangu vizuri, sijacompare vx na Subaru, sielewi kwa nini umekua mgumu kunielewa
 
Last edited by a moderator:
mm nashukuru kuna kitu nimejifunza hapa.....nikifikia uwezo wa kununua gari nadhani nitakuwa na maamuzi sahihi.
 
Mkuu mbona katika hizo SUV mm nilishajieleza ni TOYOTA VX-V8
piga ua galagaza kotekote hilo Kilimo kwanza la Petrol halina mfanowe
wakati likiwa limesimama silence ukipiga race ni gari pekee linalocheza/ kuyumba au kunesa hii inaonesha jinsi injini yake ilivyo bora.
Ni gari pekee inayoweza kutoka Musoma kupitia Serengeti, Mbuguni Kiteto Mikumi kwenye barabara mchanganyiko na kutua Dar ukalizima hapohapo bila ya kuchemsha wala bush yeyote kuharibika (jaribu RR au NISSAN ni lazima uingie gareji)

VX V8 imejengwa special kwa ajili ya mazingira ya afrika.

RR imeundwa special kwa ajili ya luxury but remind u its the beast. Na wengi wanaoimiliki ni wale wenye pesa na hawaitumii special kwa ajili ya kazi kama za VX
 
jamaa yangu Bulldo hapo TOYOTA anatisha hasa dk ya 5:00 alivyomaliza kilima na jiwe lake Jeep wala Hammer hawakuweza hata angeingia Mitsubishi Pajero (ya Sahara Rally) Benz wala NISSAN ni mweleka tu
jamani Bravoo TOYOTA ngoja nitafute na hizo clip nyingine ambazo naambiwa umeziweka humu Mnyenz ungekuja pande hizi ukaona maajabu ya milimani

hebu kaingize hako kagari kako ka SUBARU kwenye hii milima yetu ya Kondoa au Ngulu Suji -Makanya same kama hakakupasua injini
VX-V8 ni habari ingine (tazama Video hiyo halafu uje na lingine sio Impreza v/s VX)

Hapo tungeweka vX V8, RR and Nissan. Ngoja nitafute clips
 
wakuu naona sasa ni wakati muafaka kupata jibu sahihi na stahiki ni ipi suv best kati ya toyota vx v8 ya petrol kilimo kwanza na RR maana naona hapa ndio zimepigiwa sana upatu.

kwakuwa hapa kuna watu wenye uelewa hasa wa haya mambo kiufundi tungeomba mtuchambulie hasa kwa kuzilinganisha kuanzia kwenye engine kwanini nyingine ni bora zaidi ya nyingine??aina ya technologia na systerm zilizomo.

kisha mnashuka kwenye gear box kwa kuzifananisha na kuipata ipi ni bora na zaidi ya nyingine na kwanini??

baada ya hapo kwenye body nazani zikichambuliwa hivyo tutapata hitimisho ipi ni suv bora zaidi ya nyingine.

usichangie na kuishabikia gari kwa kungalia mazingira ya umasikini wa nchi yetu.hapo hatutaweza pata jibu sahihi.
 
Unaonaje ukitusaidia kudadavua kiufundi kama unavyosema? Hivi MTU wa kawaida tuanze kumwambia gari hii ina bhp 300 hii Ina bhp 302 itamsaidia mini? Au torque sijui slip differential,CVT, hii Ina transfer case hii haina au hii ina double overhead camshaft,hii bi-turbo si utamchanganya tu?! Ndio maana unaona hapa watu wanaongea general...in fact watu wanasema mapenzi yao kwanini wana prefer gari Fulani....kifupi sidhani ukinunua gari yoyote Kati ya hizo utakuwa Disappointed.

Hii mada naona ni kama, watoto magari yanapita halafu wanaulizana , lipi zuri.

Hayo magari kujibu swali lako , inahitaji specification na performance na mambo mengine ya kitaalam, value for money nk nk.

Zaidi ya hapo naona mada inachangiwa pasipo vigezo vyovyote vya kiufundi, vinavyoweza kuthibitishwa kitaalam

Uzi umeletwa hapa kila mtu achangie anachoona yeye anaweza, hakuna restrictions. Na kila mtu anachangia kutokana na uelewa wake.

Kama wewe mtaalamu, leta nondo.
 
wakuu naona sasa ni wakati muafaka kupata jibu sahihi na stahiki ni ipi suv best kati ya toyota vx v8 ya petrol kilimo kwanza na RR maana naona hapa ndio zimepigiwa sana upatu.

kwakuwa hapa kuna watu wenye uelewa hasa wa haya mambo kiufundi tungeomba mtuchambulie hasa kwa kuzilinganisha kuanzia kwenye engine kwanini nyingine ni bora zaidi ya nyingine??aina ya technologia na systerm zilizomo.

kisha mnashuka kwenye gear box kwa kuzifananisha na kuipata ipi ni bora na zaidi ya nyingine na kwanini??

baada ya hapo kwenye body nazani zikichambuliwa hivyo tutapata hitimisho ipi ni suv bora zaidi ya nyingine.

usichangie na kuishabikia gari kwa kungalia mazingira ya umasikini wa nchi yetu.hapo hatutaweza pata jibu sahihi.

Haya nadhani tungeanzia hapa.

Wataalamu wa magari naomba waje tuanze kujadili kufuatana na muongozo wa mkuu LEGE

C.C MANI RRONDO OLESAIDIMU Kaizer grafani11
 
Last edited by a moderator:
Range Rover inaongoza ikifuatiwa na Land Cruiser VX V8 ya petrol. Nissan Patrol ni cha mtoto kwa hizo nyingine. Tatizo kubwa la Nissan Patrol ni kupoteza nguvu wakati wa kupanda mlima. Kiboko ya Nissan ni milima, yaani mpaka utaihurumia, haiendi kabisa.

Tiba

inategemeana na a ina ya Nissan au engine type MF Nissan patrol grx petrol engine Ina kitu kinaitwa auto drive yaan penye mlima ndobinaongeza mwendo...point hapa ni kuwa Gari yoyote ya diesel isiyo na turbo lazima isinzie mliman tofauti na petrol engine
 
Uzi umeletwa hapa kila mtu achangie anachoona yeye anaweza, hakuna restrictions. Na kila mtu anachangia kutokana na uelewa wake.Kama wewe mtaalamu, leta nondo.
quote_icon.png
By newazz
Hii mada naona ni kama, watoto magari yanapita halafu wanaulizana , lipi zuri.
Bulldog si wote wanaojua clutch pedal ina kazi gani, tena uwaletee Automatic
Ukiwaona abiria wanamsifia dreva ndani ya basi wakati wengine wao wanapandisha hasira ndio km kwenye uzi huu.
 
inategemeana na a ina ya Nissan au engine type MF Nissan patrol grx petrol engine Ina kitu kinaitwa auto drive yaan penye mlima ndobinaongeza mwendo...point hapa ni kuwa Gari yoyote ya diesel isiyo na turbo lazima isinzie mliman tofauti na petrol engine

Mkuu hapo mimi nilikuwa nalinganisha Diesel kwa Diesel na petrol kwa petrol and not otherwise.

Tiba
 
Back
Top Bottom