Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Hio 2014 RR ikiingia kwenye dimbwi ndani inakuonyesha level ya maji ilimoingia....Kama ni hatari inakwambia,matairi kila moja linakuwa na power game tofauti kulingana na terrain yaani ni balaa ndio maana mi sioni sehemu ambayo hizi vx v8 zitapita RR isipite!hizo winch na air cleaner za juu ni optional gari yoyote unaweza kuweka

Ukipata hela za madafu usidhulumu nafsi yako, chukua RR.

Hiyo ni beast
 
MTU mzima kuremba gari mwisho tinted.....unajua wengi wanapuuzia lakini aina ya gari na mapambo Fulani Ina kudefine, Mimi siwezi kuendesha altezza au Subaru impreza au forester afadhali niendeshe BABY WALKER!!

Wengine ni dream cars kwetu.
 
Hivi mkuu hiyo ya 260kmp, hao V8 wanaweza kunifuata kweli? Maana nikipiga chafya mara nne inabaki historia tu, Mimi hayo ma SUV labda ITOOKEE TU(kwa sauti ya shehe KIPOZEO)

Wengine sedans sio magari yetu kabisa, bila SUV ni shida
 
Naomba nimwage hapa huyu mnyama 2015 ESCALADE /ESV specs..
[h=1] 2015-escalade-i-esv-trim-specs-dimensions-masthead-960x200.jpg
POWERTRAIN[/h] Learn about the advanced Escalade / ESV powertrain.

Powertrain 6.2L V8 engine 2WD 6.2L V8 engine 4WD
Fuel Type Gas V8 Gas V8
Displacement (liters/cu. in.) 6.2L/376 6.2L/376
Fuel Injection Electronic Fuel Injection Electronic Fuel Injection
Horsepower @ RPM 420 @ 5600 420 @ 5600
Torque (lb.- ft.) @ RPM 460 @ 4100 460 @ 4100
Drivetrain Two Wheel Drive Four Wheel Drive
Alternator (Amps) 170 170
 
Mkuu mithread kama hii mi ndio ugonjwa wangu kabisa, ila kwa sasa level yangu na ninayopenda sana ni Subaru forester Sti 2500cc gear 6 mbele na ya saba ni reverse
Au Subaru impreza wrx sti turbo maximum speed 260 ikiwa imefungwa B.O.V inapiga tu chafya chaaaa...
Hayo madude yakikuomba njia yapishe unaweza kukata timing belt au kupasua injini yako bure....
 
Habari mkuu.
Yani hapo naongelea package nzima sio kitu kimoja. Najua kati ya hizo kuna ambayo ni top of class.
Mkuu mbona katika hizo SUV mm nilishajieleza ni TOYOTA VX-V8
piga ua galagaza kotekote hilo Kilimo kwanza la Petrol halina mfanowe
wakati likiwa limesimama silence ukipiga race ni gari pekee linalocheza/ kuyumba au kunesa hii inaonesha jinsi injini yake ilivyo bora.
Ni gari pekee inayoweza kutoka Musoma kupitia Serengeti, Mbuguni Kiteto Mikumi kwenye barabara mchanganyiko na kutua Dar ukalizima hapohapo bila ya kuchemsha wala bush yeyote kuharibika (jaribu RR au NISSAN ni lazima uingie gareji)
 
Yuko jamaa mmoja kanunua brevis juzi anasema hamna impreza au forester inayoweza kuweka league na brevis, nikajua tu huyu jamaa amefall in love na brevis yake ila haujui moto wa Sti.

kila mtu anaamini mke wake ndio mwanamke mzuri kuliko wote by arsene wenger.....
 
Yuko jamaa mmoja kanunua brevis juzi anasema hamna impreza au forester inayoweza kuweka league na brevis, nikajua tu huyu jamaa amefall in love na brevis yake ila haujui moto wa Sti.
Ni kweli mkuu, kama unaupenda uhai wa injini ya gari yako usifanye ligi na madude hayo. Nikiwa na Lexus Harrier niliwahi kupitwa na jamaa mwenye dude kama hilo kwenye kona moja maeneo ya rufiji njia ya kuelekea Lindi jamaa alikuwa spidi zaidi ya 100 hata kuyumba halikuyumba kudadadeki. Hiyo kona watu wengi wasioijua wamekuwa wakiacha magari hapo, lakini kwa jinsi jamaa alivyopita ikabidi nimsalimie Igweeeeeeeeee.....
 
Mkuu mbona katika hizo SUV mm nilishajieleza ni TOYOTA VX-V8
piga ua galagaza kotekote hilo Kilimo kwanza la Petrol halina mfanowe
wakati likiwa limesimama silence ukipiga race ni gari pekee linalocheza/ kuyumba au kunesa hii inaonesha jinsi injini yake ilivyo bora.
Ni gari pekee inayoweza kutoka Musoma kupitia Serengeti, Mbuguni Kiteto Mikumi kwenye barabara mchanganyiko na kutua Dar ukalizima hapohapo bila ya kuchemsha wala bush yeyote kuharibika (jaribu RR au NISSAN ni lazima uingie gareji)

Aisee...kila siku najifunza kitu kipya!
 
Mkuu, hivi nikiwa na ka Subaru kangu siwezi kuona hata vumbi lake? Maana unanitisha.
SUBARU ni kiboko kwenye lami tu Mkuu
  • kanachomoka usiombe lakini kwenye vumbi na changarawe kanahama na katakuua
  • kwenye bump hakawezi katapinduka kakuache hewani
  • kwenye mashimo ya lami (km pale Mlandizi kwenda daraja la Wami palipojaa maji sasa kuna mahandaki na matuta ya lami) katatembelea kifua
  • kwa barabara zote za Tanzania SUBARU katachagua 10% ya barabara zetuhakawezi kutoka Babati kwenda Iringa roughroad utaokota tairi kila moja upande wake
Gari Comfortable, Durability na sustainable barabarani ni Kilimo kwanza
hata Escort No 1 Benzi huwa zinakaa pembeni zikisikia msafara utatumia rough road na baadhi za barabara za milima km Mvomero- Segera- Msata -Bagamoyo huko hata RR au NISSAN huzikuti
 
Naomba nimwage hapa huyu mnyama 2015 ESCALADE /ESV specs..
View attachment 229116
POWERTRAIN

Learn about the advanced Escalade / ESV powertrain.

Powertrain 6.2L V8 engine 2WD 6.2L V8 engine 4WD
Fuel Type Gas V8 Gas V8
Displacement (liters/cu. in.) 6.2L/376 6.2L/376
Fuel Injection Electronic Fuel Injection Electronic Fuel Injection
Horsepower @ RPM 420 @ 5600 420 @ 5600
Torque (lb.- ft.) @ RPM 460 @ 4100 460 @ 4100
Drivetrain Two Wheel Drive Four Wheel Drive
Alternator (Amps) 170 170

just bigger engine and bigger body.....nothing else!
 
SUBARU ni kiboko kwenye lami tu Mkuu
  • kanachomoka usiombe lakini kwenye vumbi na changarawe kanahama na katakuua
  • kwenye bump hakawezi katapinduka kakuache hewani
  • kwenye mashimo ya lami (km pale Mlandizi kwenda daraja la Wami palipojaa maji sasa kuna mahandaki na matuta ya lami) katatembelea kifua
  • kwa barabara zote za Tanzania SUBARU katachagua 10% ya barabara zetuhakawezi kutoka Babati kwenda Iringa roughroad utaokota tairi kila moja upande wake
Gari Comfortable, Durability na sustainable barabarani ni Kilimo kwanza
hata Escort No 1 Benzi huwa zinakaa pembeni zikisikia msafara utatumia rough road na baadhi za barabara za milima km Mvomero- Segera- Msata -Bagamoyo huko hata RR au NISSAN huzikuti

Ni kweli mkuu, kwa SUV kwa hali ya barabara za Tanzania VX v8 ina uwezo wa kuhimili sana tu, ila tunapokuja Ku compare hizi gari ndogo brevis hawezi kuona moto wa impreza wrx sti 260kph iwe lami au rough road
 
Hii mada naona ni kama, watoto magari yanapita halafu wanaulizana , lipi zuri.

Hayo magari kujibu swali lako , inahitaji specification na performance na mambo mengine ya kitaalam, value for money nk nk.

Zaidi ya hapo naona mada inachangiwa pasipo vigezo vyovyote vya kiufundi, vinavyoweza kuthibitishwa kitaalam
 
Unaonaje ukitusaidia kudadavua kiufundi kama unavyosema? Hivi MTU wa kawaida tuanze kumwambia gari hii ina bhp 300 hii Ina bhp 302 itamsaidia mini? Au torque sijui slip differential,CVT, hii Ina transfer case hii haina au hii ina double overhead camshaft,hii bi-turbo si utamchanganya tu?! Ndio maana unaona hapa watu wanaongea general...in fact watu wanasema mapenzi yao kwanini wana prefer gari Fulani....kifupi sidhani ukinunua gari yoyote Kati ya hizo utakuwa Disappointed.
 
Hii hapa mkuu

jamaa yangu Bulldo hapo TOYOTA anatisha hasa dk ya 5:00 alivyomaliza kilima na jiwe lake Jeep wala Hammer hawakuweza hata angeingia Mitsubishi Pajero (ya Sahara Rally) Benz wala NISSAN ni mweleka tu
jamani Bravoo TOYOTA ngoja nitafute na hizo clip nyingine ambazo naambiwa umeziweka humu Mnyenz ungekuja pande hizi ukaona maajabu ya milimani
Ni kweli mkuu, kwa SUV kwa hali ya barabara za Tanzania VX v8 ina uwezo wa kuhimili sana tu, ila tunapokuja Ku compare hizi gari ndogo brevis hawezi kuona moto wa impreza wrx sti 260kph iwe lami au rough road
hebu kaingize hako kagari kako ka SUBARU kwenye hii milima yetu ya Kondoa au Ngulu Suji -Makanya same kama hakakupasua injini
VX-V8 ni habari ingine (tazama Video hiyo halafu uje na lingine sio Impreza v/s VX)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom