Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

article-2477960-1906E63A00000578-171_634x353.jpg


style.jpg





Toyota-Land-Cruiser-2013-Price-in-Pakistan-2014-Pictures.jpg



Nimeongeza BMW na Marcedes BENZ



2009_mercedes_benz_suv-wide.jpg



2015-Mercedes-Concept-Coupe-SUV-vs-2015-BMW-X6-bmw-610x330.jpg

Bora ununue mkonga land cruiser
 
Majibu yatakuwa kulingana na driving experience.
Mkuu Mimi ninapendelea Sana range sport,but siku za hivi karibuni nimejikuta naipenda zaidi Jaguar F-pace.
Ebu niambie kama huyo jaguar itanifaa ukizingatia nimeoa milimani Lushoto na kwetu Ni Bunda-Mara ingawa naishi Dar.So rikizo zitanihusu Sana.
 
Mkuu Mimi ninapendelea Sana range sport,but siku za hivi karibuni nimejikuta naipenda zaidi Jaguar F-pace.
Ebu niambie kama huyo jaguar itanifaa ukizingatia nimeoa milimani Lushoto na kwetu Ni Bunda-Mara ingawa naishi Dar.So rikizo zitanihusu Sana.
Sikushauri uchukue gari mpya hasa kama unaishi Afrika, Tanzania.

Zitakusumbua unapotaka kubadili spare parts ambazo itakuhitaji uingie gharama kununua kwa dealer au kuagiza toka nje.

Ila kama upo vizuri mfukoni, hakuna kinachoshindikana.
 
Range rover ni nzur kwa takeoff ya kukimbia na kuchanganya kwa haraka kuzidi nissan na land cruseir tena range rover iwe supercharger ni noma sana na range rover wametoa gari lingine mwaka huu ina engine ya SVR ni noma coz nw hawatengenezi izo superchager nw ni SVR ninoma kwa speed bt nissan ni nzur imebase kwa range rover technology nayo inawai kuchanganya sana na speed sana kuliko cruiser bt kwa bongo land cruiser n ni mwisho wa matatizo upate twin turbo petrol ni noma man yani inaenda sana na land cruiser naipendea offland hakuna mtu anaweza kwenda nae hapo kati ya range rover na nissan
Kwa choice yangu coz niko bongo ningechukua land cruiser naipenda sana coz ni nzur kwa offroad na speed siyo baya,kama unapenda mbwembwe chukua range rover na nissan lakin cruiser noma ww
LAND CRUISER VX V8 TWIN TURBO PETROL NI NOMA SICHUKUI UCHAFU WA ENGLAND NA MJAPAN NISSAN
Ukweli mtupu.
 
Mbaya zaidi wengi wetu hatuwezi hata kununua vitz, acha tuendelee kuota.

Mkuu, kuna walioema kwamba..... if your dreams do not scare you are not big enough!

Waafrika tuwe positive. Kuishi vizuri ni haki ya kila mtu. Tuanze kwa kujikomboa na huu umasikini wa fikra. Unakuta mtu anakwambia..kununua gari mpya..spare ni bei gari..au kununua gari fulani inakunywa mafuta mengi nk. My point is; If you can afford it, go for it! Hakuna kitu kizuri kama kuendesha gari mpya! By the way kila kitu ni matunzo. Europe unakuta mtu ana gari ya 20 years. But it is still super strong.
 
Range Rover inaongoza ikifuatiwa na Land Cruiser VX V8 ya petrol. Nissan Patrol ni cha mtoto kwa hizo nyingine. Tatizo kubwa la Nissan Patrol ni kupoteza nguvu wakati wa kupanda mlima. Kiboko ya Nissan ni milima, yaani mpaka utaihurumia, haiendi kabisa.

Tiba

Mi nashindwa kuelewa awa jamaa wanalinganisha range rover na Toyota!?,..aseeh
 
Back
Top Bottom