Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

SUBARU ni kiboko kwenye lami tu Mkuu
  • kanachomoka usiombe lakini kwenye vumbi na changarawe kanahama na katakuua
  • kwenye bump hakawezi katapinduka kakuache hewani
  • kwenye mashimo ya lami (km pale Mlandizi kwenda daraja la Wami palipojaa maji sasa kuna mahandaki na matuta ya lami) katatembelea kifua
  • kwa barabara zote za Tanzania SUBARU katachagua 10% ya barabara zetuhakawezi kutoka Babati kwenda Iringa roughroad utaokota tairi kila moja upande wake
Gari Comfortable, Durability na sustainable barabarani ni Kilimo kwanza
hata Escort No 1 Benzi huwa zinakaa pembeni zikisikia msafara utatumia rough road na baadhi za barabara za milima km Mvomero- Segera- Msata -Bagamoyo huko hata RR au NISSAN huzikuti

Ukwaju umenimaliza
 
Last edited by a moderator:
Well nimeangalia clips nyingi kuhusu RR ikiwa offroad. Aisee ni monster

Sasa hii habari ya VX V8 kuwa ndio kiboko inatoka wapi? Clip nyingi za head to head inashindwa! Kuna clip IPO pia YouTube bio vx v8 inashindwa drag race na disco 4, nilisema hili earlier kuna mjuaji akanitukana,ila clip IPO vx v8 inaachwa na disco 4 kwenye drag race!
 
Disco wanatumia tech ya RR kwenye utengenezwaji wake. Kwahyo sitashangaa
 
Sasa hii habari ya VX V8 kuwa ndio kiboko inatoka wapi? Clip nyingi za head to head inashindwa! Kuna clip IPO pia YouTube bio vx v8 inashindwa drag race na disco 4, nilisema hili earlier kuna mjuaji akanitukana,ila clip IPO vx v8 inaachwa na disco 4 kwenye drag race!
Hiyo Clip ya VX-V8 kushindwa na gari ingine (Disco-4) kwenye drag-race au rough-road iwekeni basi maana nyingi Bulldog kaweka za RR na Benz post #349 katika Clip 7 ni moja tu VX na alikubali kuwa katika Afrika
quote_icon.png
By Bulldog
VX V8 imejengwa special kwa ajili ya mazingira ya afrika. RR imeundwa special kwa ajili ya luxury but remind u its the beast. Na wengi wanaoimiliki ni wale wenye pesa na hawaitumii special kwa ajili ya kazi kama za VX
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=x0qWHJ6FLTY
Bado naamini katika Tanzania Afrika VX-V8 ni bora kwa kila fani jibu mmeshapata tuwekeeni You Tube ipo wazi
 
Hiyo Clip ya VX-V8 kushindwa na gari ingine (Disco-4) kwenye drag-race au rough-road iwekeni basi maana nyingi Bulldog kaweka za RR na Benz post #349 katika Clip 7 ni moja tu VX na alikubali kuwa katika Afrika

https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=x0qWHJ6FLTY
Bado naamini katika Tanzania Afrika VX-V8 ni bora kwa kila fani jibu mmeshapata tuwekeeni You Tube ipo wazi

haya hapa nissan patrol imekaa...RR imepita!

https://www.youtube.com/watch?v=22K419gSlAw
 
nimekupata Mkuu Lakini ukiangalia lvizuri ile ni tangazo la Range Rover na la kuuza spare zao wachangiaji wa ile tube wanashauri ingewekwa TOYOTA LANDCRUISER VX-V8 na mchangiaji wa mwisho anadai hiyo Discovery Gearbox ni ya FORD (David Troon the landrovers motor is a ford duratorq motor the transmission is a zf transmission toyota is all toyota) sina mengi TOYOTA VX-V8 is the Best
 
nilijua kuna watu watasema ni conspiracy, mimi sijui kwenye disco 4 kuna engine/gearbox ya nani....nilichokishuhudia safarini VX V8 imechemsha kwa disco 4 tdv6 nikatoa hio comment hapa kuna mjuaji akanitukana!! sasa nimeweka clip hio huko mbali sijui australia VX V8 imechemsha kwa Disco 4....na wewe unasema ni tangazo la landrover, basi siwezi kuprove tena maanake nikiweka chochote utasema ni tangazo la lr, mimi nasema kwa kifupi tu HAKUNA SEHEMU AMBAYO VX V8 ITAKWENDA RR IKASHINDWA KUFIKA,HAMNA MLIMA VX V8 ITAPANDA RR ISIPANDE, NA TUKIJA KWENYE DESING,COMFORTABILITY,SPEED,ROAD HANDLING,GADGETS LAND CRUISER HAISOGELEI RR HATA KIDOGO.
 
haya hapa nissan patrol imekaa...RR imepita!
https://www.youtube.com/watch?v=22K419gSlAw
Mkuu ni kweli nikiacha ushabiki RR inaweza fuata alipopita VX-V8
Lakini wengine km kina Discovery wanachemsha kwa vigari km kina Lada na kujitoa mashindanoni
Kwa vile mleta mada hakuiweka Disco, unaweza kuangalia ukatambua pia kuwa Dreva ni muhimu katika haya magari kwani uzoefu ni alama ya kwanza ka make ya gari
4x4 nissan patrol, toyota LJ et HDJ 80, range rover, land rover discovery, jeep cherokee, lada niva
https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=drkKpG6DLHM#t=140
 
Mkuu ni kweli nikiacha ushabiki RR inaweza fuata alipopita VX-V8
Lakini wengine km kina Discovery wanachemsha kwa vigari km kina Lada na kujitoa mashindanoni
Kwa vile mleta mada hakuiweka Disco, unaweza kuangalia ukatambua pia kuwa Dreva ni muhimu katika haya magari kwani uzoefu ni alama ya kwanza ka make ya gari

https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=drkKpG6DLHM#t=140

Ngoja nitoe final verdict yangu
1.design and technology RR mshindi.
2.fuel efficiency zote saw a
3.overall speed,handling,comfortability RR by far
4.reliability Land Cruiser mshindi

Overall kwangu Mimi RR mshindi.
 
sijakuelewa Mkuu leo unaposema Off-road zote zinafanana wakati Clip zako zinaonesha ni VX pekee inamaliza ungwe hizo na hata nyingine zinakwea vilima zaidi ya nyuzi 75

Nilimaanisha nature ya offroad ni sawa ila magari ni tofauti.
 
Siijui hii gari zaidi ya kuiona kwenye mitandao na kwenye muvi, ila inaonekana ni luxury sana, na kwa huku kwetu zitavunjika tu springs, zinanesa nesa sana, la sivyo ruti ziwe posta na masaki.

Kuna kitu Cadillac Escalade. Siijui sana kuhusu specifications zake lakini kwa muonekano dude la mmarekani linatisha kuliko V8 na RR

hii kitu ipo sana TZ... nahisi wenye hela ndio wanaomiliki thats y sio popula car bongo. nimeiona DAR na ARUSHA pia.. kila ninapoliona watu lazima wapige saluti... na mimi naamini ni gari bora zaidi ndio maana hata wanausalama wa marekani wanatumia haya magari.
 
Attachments

  • 2014-Cadillac-Escalade-A.jpg
    2014-Cadillac-Escalade-A.jpg
    54.7 KB · Views: 200
  • 2015-escalade-exterior-section-header-960x366-r.jpg
    2015-escalade-exterior-section-header-960x366-r.jpg
    49.1 KB · Views: 192
  • 2015-escalade-safety-front-center-airbag-960x496-r.jpg
    2015-escalade-safety-front-center-airbag-960x496-r.jpg
    57 KB · Views: 200
Hizi ndiga zote ni first class SUV ila Genuinity,,comfotability,,mvuto,,reliability,,capacity,,ya hizi gari hutofautiana! VX ni genuine kuliko Range,,Range ina comfotability kuliko V8,Range inavutia visualization kuliko V8 ndani na nje,Nissan ni genuine kuliko Range,Nissan inaspeed sawasawa na Range japo Nissan na VX inategemea na mazingira ya barabara,VX ni Duma wa Africa,,kwenye vumbi na barabara yenye korongo,mawe,mashimo sio Range wala Nissan atamkamata. Nimetembea Dodoma-Iringa kupitia mtera kwa V8 kipindi hakujapigwa lami nazijua hizi mashine. Nissan na Range Rover hazivumilii shida na hapo ndipo genuinity ya VX inapoonekana. Ni pesa yako na mapenzi yako ila kama unataka mashine ya kwenda nayo shamba na safari za kila leo kwa miaka mingi Vx itakufaa. Kama utataka show off kwa miaka kadhaa Range na nissan itakufaa.
 
Ngoja nitoe final verdict yangu
1.design and technology RR mshindi.
2.fuel efficiency zote saw a
3.overall speed,handling,comfortability RR by far
4.reliability Land Cruiser mshindi

Overall kwangu Mimi RR mshindi.

Mkuu RRONDO Range kwa mazingira yetu ya kiafrika hasa kwetu sisi watanzania ambao Lami ni chini ya 20% tuu ya barabara zetu ni VX itamfaa huyu jamaa.
 
Mkuu RRONDO Range kwa mazingira yetu ya kiafrika hasa kwetu sisi watanzania ambao Lami ni chini ya 20% tuu ya barabara zetu ni VX itamfaa huyu jamaa.

Wewe unaipimia RR...RR ipo fiti sana kwenye rugged terrains, imetengenezwa kwa ajili hiyo....

RR ilitengenezwa kwa ajili ya kucater mahitaji ya waingereza waliopenda kuwa na gari ambayo wanaweza kuitumia wakiwa mjini na wakienda upcountry wakati wa weekends na familia...ikaboreshwa zaidi kucater soko la wamarekani ambao wenyewe waliiamini Jeep tu kwa off-road na rugged terrains adventures...ndiyo Land Rover wakaja na luxury brand ya RR....RR ya kwanza haikuwa luxurious...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom