Kati ya Mzee Butiku, Mzee Warioba vs Mzee Kikwete, nani mshauri mzuri?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,938
Reaction score
41,098
Salaam!

Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?

Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,

Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea Urais kwa kukiuka utaratibu na katiba ya chama, Mzee yupi alitakiwa kusikizwa ushauri wake na yupi ushauri wake ulipaswa kupuuzwa?

Tujisahihishe!

Nawasilisha 🙏
 
Kikwete ni mshauri wa kitu gani huyo muhuni?
 
Hao wazee wawili ukimtoa huyo cheki bob, hao wawili tunawaheshimu sana. Tunaimba huyo Kiwete mtoe kwenye kundi la wazee wenye maana katika Taifa hili, huyo ni muhuni wa mjini
 
Muhuni awezaje kuwa karibu hivyo na kiongozi wetu Mkuu na nchi ikabaki salama?
 
Butiku na Warioba hawakuwepo mkutanoni ?
Hakuna ana weza kulingana na Kikwete kwa experience
 
Back
Top Bottom