Kati ya mwanamke aliyevaa suruali ya kubana na aliyevaa sketi fupi kuishia magotini, yupi anakuvutia?

Hapa ni kwa wanawake wanene na wenye chura za kutukuka.

Yupi anakuvutia kati ya hao kiasi kwamba ukimuangalia lazima akili ikuruke kidogo kwa jinsi alivyoumbika kwa chura na unene uliotukuka.

Aliyevalia Suruali ya kubana anavutia zaidi kwakuwa unaweza ukaona Ramani yote ya Jiografia yake nzima ya Kibaiolojia kuanzia Tropiki yake ya Kansa, Kaprikoni na hadi Ikweta yake lakini aliyevalia tu Sketi fupi na ikaishia magotini sana sana utaambulia kuangalia tu Bonde lake la Ufa.
 
Hapo ndio kwenyewe

Bila kusahau chura kujizungusha katika mhimili wake kinyume mwendo saa(anticlockwise)
 
Aliyevalia Suruali ya kubana anavutia zaidi kwakuwa unaweza ukaona Ramani yote ya Jiografia yake nzima ya Kibaiolojia kuanzia Tropiki yake ya Kansa, Kaprikoni na hadi Ikweta yake lakini aliyevalia tu Sketi fupi na ikaishia magotini sana sana utaambulia kuangalia tu Bonde lake la Ufa.
Nina Mdogo Wangu Wa Kike Anatafuta Mwalim Wa Geo......????

Je Waweza Nisaidie....??

Kiviere Wa Usangi
 
Mwanamke awe na paja na miguu ulionona akivaa kimini hasa vile visketi vya ofisini network hua inakata kabisa
 
791cbea2e03b433c4d84f841ede747fa.jpg
 
Aliyevalia Suruali ya kubana anavutia zaidi kwakuwa unaweza ukaona Ramani yote ya Jiografia yake nzima ya Kibaiolojia kuanzia Tropiki yake ya Kansa, Kaprikoni na hadi Ikweta yake lakini aliyevalia tu Sketi fupi na ikaishia magotini sana sana utaambulia kuangalia tu Bonde lake la Ufa.
yani ulivojitahid kuelezea kwa hisiaa
 
Back
Top Bottom