Kati ya mwanamke aliyevaa suruali ya kubana na aliyevaa sketi fupi kuishia magotini, yupi anakuvutia?

Nyie wa wapi jomoni! Suruali za kubana na wanawake wanene wapi na wapi!, wanene kuna suruali zao pana ambazo sasahivi hazipendwi kuvaliwa na wamama.
Suruali za kubana zinawapendeza wanawake wembamba ama maumbile ya wastani.
Wanene ni sketi, kwa kuwa haujaweka mbadala.
Ungeweka mbadala ningekwambia kuwa wanawake wanene wanapendeza "matenge" na madera.
 
Aliyevalia Suruali ya kubana anavutia zaidi kwakuwa unaweza ukaona Ramani yote ya Jiografia yake nzima ya Kibaiolojia kuanzia Tropiki yake ya Kansa, Kaprikoni na hadi Ikweta yake lakini aliyevalia tu Sketi fupi na ikaishia magotini sana sana utaambulia kuangalia tu Bonde lake la Ufa.
Mkuu angalia, maana hayo huwa ni maruweruwe ya macho au tuseme ni uongo na unafiki wa macho tu.
Macho yatakavyokupotosha, utagundua ukweli utakapo mvua nguo zote, ndiyo utagundua hadaa ya maumbile ya mwanamke mnene kuwa kumbe ana sura mbili tofauti. Akivaa suruali ni mwingine na akivua ni mtu mwingine kabisa.
 
Binafsi yangu hasa, mm napenda mwanamke mnene mnene alojazia neema za ala shekhe, ww kama unapenda wanawake wembamba sawa ila nafs yangu hasa inapenda wanawake wanene....mmmh mizigo mizigo
 
Tena ndo yanakula ya kwanza, wakati mwingine hayapendi kushirikisha viungo vingine
Hiyo ndio njia rahisi ya kutuliza ghasia, maana wengine akiona kwa macho moyo unaridhika kabisa.
 
Picha ingependeza Mkuu.

Hapa ni kwa wanawake wanene na wenye chura za kutukuka.

Yupi anakuvutia kati ya hao kiasi kwamba ukimuangalia lazima akili ikuruke kidogo kwa jinsi alivyoumbika kwa chura na unene uliotukuka.
 
misuruali ya nini sketi ndio mpango mzima hasa mlengwa akiwa na guu la bia na kawowo nasikitika hata trafiki wanawake kuacha kuvaa sketi
 
Avae mini skirt alafu akae kwa mbele utaona jinsi anavyoangaika kujizuia mapaja yake yasionekane.
 
Back
Top Bottom