Ndiyo mnazidi kujijengea maadui badala ya kujiongezea marafiki,unadhani cuf hawana akili?View attachment 361886
Mkiendelea hivi,,, na sisi tutaendelea kuwakumbusha wapi mlipo kosea, ili msiwasingizie watu wengine makosa yenu.
Wewe unaandika haya ukijua kabisa mfumo wa tume ya uchaguzi ulivyo. Wenzio wanalindwa na mfumo wa dola katika siasa zao, wapinzani je? Binafsi nawapongeza kwa hapo walipofikia kwani wame "sacrifice" mambo yao mengi sana ambayo wewe na mimi hatuwezi.Kuna mambo ya kipuuzi unaweza kulia hadharani kama unaipenda kweli nchi yako. Hakuna anayeona hili wala kutafakari. Wakati ule tulitukanwa matusi yote. Kuna wazalendo wengi waliokuwa wanaleta nondo humu ambazo zingine zilisaidia kupaisha upinzani wameacha kuchangia lolote humu. Wengine kipindi cha uchaguzi walichanganyikiwa na upepo uliotokea ambao hauelezeki. Kwa ufupi CCM watatuadhibu miaka mingi ijayo kama tukiendelea kushupaza shingo jahazi lisonge bila kurudi chini kujiuliza na kujirekebisha.
Wewe unaandika haya ukijua kabisa mfumo wa tume ya uchaguzi ulivyo. Wenzio wanalindwa na mfumo wa dola katika siasa zao, wapinzani je? Binafsi nawapongeza kwa hapo walipofikia kwani wame "sacrifice" mambo yao mengi sana ambayo wewe na mimi hatuwezi.
Nyie siku zenu za kutumikia tumbo zinahesabika maana akishachukua kofia ngosha hapo lumumba hapatakalika tena
HATUPENI?Heshima yako mkuu,
Haya mambo magumu sana. Hasa tunapoongelea maisha ya mtu. Wengi hatupeni kuongelea. Na hili ni tego kwangu hata kwako.
Kuelewa umeelewa=hatupendiHATUPENI?
Kukubali kukosolewa siyo utwana bali ni uungwanaKuelewa umeelewa=hatupendi
Malizia kwa kusema wa lumumbaNyumbu
Hongera sana kwa kuutambua mchango wao mkuuWewe unaandika haya ukijua kabisa mfumo wa tume ya uchaguzi ulivyo. Wenzio wanalindwa na mfumo wa dola katika siasa zao, wapinzani je? Binafsi nawapongeza kwa hapo walipofikia kwani wame "sacrifice" mambo yao mengi sana ambayo wewe na mimi hatuwezi.