Salamu zenu wakuu, natumai mu wazima.
Nina uhitaji wa kufahamu kiundani zaidi, upi kati ya mkoa tajwa hapo juu una fursa za uwekezaji?
Nafahamu mikoa hiyo ni mashuhuli kwa vilimo mbalimbali. Je, biashara gani ya kufanya huku ukiwa unajihusisha na kilimo? kilimo gani, wilaya gani?
Sipendelei maeneo ya mjini. Naombeni mnisaidie kijana mwenzenu nakipenda kilimo japo nimekuzwa mjini ila nia thabiti, ninayo shida pa kuanzia.