Kati ya Lumia 630 na Nokia XL ipi bora.?

Kati ya Lumia 630 na Nokia XL ipi bora.?

Chief habari yako kaka. Me nilikuwa na katatizo kidogo kwenye simu yangu. Nina Nokia lumia 630, tatizo ni hili nilimuazima jamaa yangu simu atumie kwenye maswala yake ya internet sasa ile ananirudishia akawa amevuruga vitu vingi na jambo la ajabo ambalo nashindwa kulitatua ni upande wa sim card aliweka kwenye Airplan mod(flight mod) nimehangaika kuitoa kwa kadri ya utundu wangu nimeshindwa. Na unapotaka kuiweka off airplain simu inachemka na tach inakuwa nzito. Nisaidie kaka tatizo litakuwa nini. Thanks

ungeanza mkuu na soft reset, ikishindikana jaribu hard reset ikishindikana flash. kama bado itakuwa ni hardware issue.

soma hapa jinsi ya ku hard reset na ku soft reset lumia

How to soft- and hard reset your Windows Phone
 
Back
Top Bottom