Kati ya leo na kesho kuna jambo jipya kisutu mahakamani

Status
Not open for further replies.

FDR.Jr

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
1,359
353
Wakuu kuna tetesi kuwa leo au kesho mkuu fereshi anashusha noma jingine hapo kwa mh.mama ady lyamuya kisutu.

Wakali ingieni vitani mapema
 
Mkuu FDR.Jr tafadhali mwaga data walau kidogo,hii kitu iko namna gani ?
 
Inasemekana kuna mmoja wa makatibu wakuu aidha wastaafu/existing anatinga kwa pilato leo au kesho. Sina full access wakuu
 
Inasemekana kuna mmoja wa makatibu wakuu aidha wastaafu/existing anatinga kwa pilato leo au kesho. Sina full access wakuu


Kwahiyo unataka kusema kiama cha Gray Mgonja/Vicent Mrisho kimefika? kwa vyovyote kama kuna mtu wa kupanda kizimbani basi ni Gray Mgonja na hii inaweza kuhusu matumizi mabaya ya madaraka! hata kama hakuna atakayefungwa katika kesi ya Yona/Mramba na pengine hata Mgonja lakini itaset precedent kwamba ukiwa mtumishi wa umma lazima utumie nafasi hiyo kwa maslahi ya umma na si kwa maslahi ya tumbo lako binafsi na familia yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom