Kati ya JF memberz hawa,Je ulipenda ukutane na yupi (Live) ili umfahamu?

Jamani mi wangu Asprin, Bujibuji na Rev. Fr. Masanilo. Wananipa raha sana ninapo soma maandishi yao.
Kati ya watatu hao, bujibuji huwa anazivunja mbavu zangu ile mbaya.
 
Rejeo
Topical
Malaria sugu
Mwita25
Ritz
Ami
Faizafoxy

From nowhere.... ghafla bin vuu ukabahatika kukutana "live" na mmoja kati ya waheshimiwa niliowataja hapo juu, jee utajisikiaje?
Mathalan kakwambia'mimi ndiye FF au Topical' Je,utaamini vipi? Au utamuuliza swali gani la uchokonozi kupitia mijadala yetu ya hapa
jamvini ili uamini kama ni kweli huyu ni Malaria sugu au ni kweli huyu ni mwita25? Na ukishajiridhisha kuwa kweli ni yeye, Je utampa
ushauri gani kabla ya neno 'byeee c uuuu agaiiiin?

Nilikuwepo....sitaki ushahidi, nawahi Libya kwenye mazishi ya canar Ghadaffi.

Mimi namtaka FaizaFoxy
 
Hio list hapo nengependa nionane nao na kila mmoja for different reasons....

Faiza Foxy - A strong and Persistent lady with an Unshakably strong character rare in Women.
Rejao - To understand ni kwa nini alichagua hio Avatar ambayo humfanya ukimuona at first glance ka vile umpotezee...
Ritz - Napenda the fact kua hata yeye anatambua kua ana makusudi sana jinsi ya ku-rattle members ambao kila siku huingia mtego wake.
Mwita25 - Hua namuona ana akili saana... ila bado simpati kwanini hufanya mambo ambayo yaweza mtafsiri kua ni kilaza to most....

Malaria Sugu - Nam-quote Mkuu Riwa hapo juu.... "Most interesting character"
Ami - Hanaga reasoning... what he believes hawezi shake down hata kidogo aangalie the other side... A dangerous character in devout situations...

Topical sijawahi muona wala kumsikia....

Huyu nadhani ana fani ya Udaktari wa binaadam au wanyama, nimekutana nao wengi sana, wote huwa kama Mwita25.
 
dah umemsahau mzee mwanakijiji!! by the way kuna mtu anaitwa excellent huyo nikikutana nae kwanza itabidi nicheke saaaaana!!!!
 
dah umemsahau mzee mwanakijiji!! by the way kuna mtu anaitwa excellent huyo nikikutana nae kwanza itabidi nicheke saaaaana!!!!
Mkuu....Mwanakijiji na watu wengine kama wewe siyo PASUA KICHWA kama hao waheshimiwa niliyowataja hapo juu.
Maana kama unataka kujenga mjadala na hao watu hapo juu ni lazima kwanza unywe panadol....otherwise utalipuka na kukimbia
 
Natamani sana kukutana na FaizaFoxy, AshaDii na Husninyo. Napenda nikutane nao kwa wakati na mahala tofautitofauti . Nimeamua kuwachagua huo wa jinsia kinzani na yangu kwasababu binafsi.
 
Back
Top Bottom