Kati ya JF memberz hawa,Je ulipenda ukutane na yupi (Live) ili umfahamu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya JF memberz hawa,Je ulipenda ukutane na yupi (Live) ili umfahamu?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mshikachuma, Oct 21, 2011.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Rejeo
  Topical
  Malaria sugu
  Mwita25
  Ritz
  Ami
  Faizafoxy

  From nowhere.... ghafla bin vuu ukabahatika kukutana "live" na mmoja kati ya waheshimiwa niliowataja hapo juu, jee utajisikiaje?
  Mathalan kakwambia'mimi ndiye FF au Topical' Je,utaamini vipi? Au utamuuliza swali gani la uchokonozi kupitia mijadala yetu ya hapa
  jamvini ili uamini kama ni kweli huyu ni Malaria sugu au ni kweli huyu ni mwita25? Na ukishajiridhisha kuwa kweli ni yeye, Je utampa
  ushauri gani kabla ya neno 'byeee c uuuu agaiiiin?

  Nilikuwepo....sitaki ushahidi, nawahi Libya kwenye mazishi ya canar Ghadaffi.
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Kati ya hao wote, Malaria Sugu a.k.a MS is the most interesting character, ningetamani kukutana naye live!
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Naona unajitafutia umaarufu kupitia ID zetu.
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mbona mimi hujaniweka?
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Chit Chat hii mazee.
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Kati ya wote ningependa kukutana na Ritz & FF usiulize kwanini hawa wanajamvi wanasaidia sana kubalance JF.
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  mushikachuma!
   
 8. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ritz tunaye Arusha mahakamani leo tutammm hatorudia
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Nisingependa kukutana na yeyote kati ya hao!
   
 10. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  theetehetehett!!!! na mm je!!!
   
 11. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mimi ningependa kukutana na INVISIBLE!
   
 12. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mimi nampenda FF.
   
 13. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huyo hapo juu wa kwanza kabisa, dah kweli ningetamani sana, kukutana nae.
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,130
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  mimi mwita25
  mbona theboss hujamuweka??????????
  na mimi je.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hio list hapo nengependa nionane nao na kila mmoja for different reasons....

  Faiza Foxy - A strong and Persistent lady with an Unshakably strong character rare in Women.
  Rejao - To understand ni kwa nini alichagua hio Avatar ambayo humfanya ukimuona at first glance ka vile umpotezee...
  Ritz - Napenda the fact kua hata yeye anatambua kua ana makusudi sana jinsi ya ku-rattle members ambao kila siku huingia mtego wake.
  Mwita25 - Hua namuona ana akili saana... ila bado simpati kwanini hufanya mambo ambayo yaweza mtafsiri kua ni kilaza to most....
  Malaria Sugu - Nam-quote Mkuu Riwa hapo juu.... "Most interesting character"
  Ami - Hanaga reasoning... what he believes hawezi shake down hata kidogo aangalie the other side... A dangerous character in devout situations...

  Topical sijawahi muona wala kumsikia....
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hata hawa pia....

  Mamndenyi - To understand her anger over her ex - hubby na to see the motherly love she spreads around at JF.... Aonekana yupo full of love..
  The Boss - One of my genuine man friends at JF and the only member who tells me Bluntly kila nichemkapo japo in private...
   
 17. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #17
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,249
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Mimi sipendi kumuona yeyote maana mie mwenyewe najiogopa sembuse hao?
   
 18. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Duuh umenifurahisha sana AshaDii kwa uchambuzi wako juu ya hao watu.
  Sasa utaamini vipi kama huyu ni FF au Malaria Sugu? utamuuliza swali gani la kichokonozi ili uthibitishe kuwa huyu ni kweli FF au Malaria sugu?
   
 19. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Humo kwenye bold....wewe na The Boss si pasua kichwa kama waheshimiwa niliyowataja hapo juu
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Kuna mambo ambayo Members tofauti husimamia katika mambo fulani fulani... Tokana na historia yangu hapa JF The number one person ambae hawezi nidanganganya kama ni yeye ama lah! ni Faiza Foxy... No body can pretend to be Faiza Foxy na akaweza to pull it off! (at least to me) maana maswali nitayo muuliza yatamfaa yeye mwenyewe FF... Upande wa MS... ni rahisi, ni vigezo tu na masharti kuzingatiwa na wala hawezi nidangaya member for i do have my ways.... (ambazo unfortunately siwezi sema)
   
Loading...