TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Lakini utakuwa unaitendea wema kampuni yako hasa katika ku-compete na mpinzani wako mkuu kwenye soko?
Jiulize kwa nn China inaipiga gap USA na nchi za Ulaya? Ni kwa ajili ya kuminimize expenses na kutumia cheap labor