Kati ya elimu na pesa bora nini?

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Habari wakuu kutokana na kile kinachoendelea katika vyombo vya habari kuhusu sakata la mikopo ya pesa za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu hususani wa chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Sakata hili limechukua sura mpya mara baada ya serikali kutoa maelekezo kwa uongozi wa chuo kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi wa chuo hiko.

Hata hivyo kwa kipindi kirefu kumekuwa na debate katika mashule ya sekondari huku mdahalo uliochukua mda mrefu na awamu mbali mbali za majadiriano ni hii mada inayosema "does education is better than money or money is better than education".

Hata hivyo mara nyingi wale walikokuwa upande wa hoja ya kusema elimu ni bora kuliko pesa walionekana kushinda midahalo kwa hoja zenye nguvu kwa wakati huo walipokuwa katika elimu ya sekondari.

"Je elimu ni bora kuliko pesa" msemo huu unategemea upo kwenye hali gani ya kimaisha na elimu au wanafunzi walikuwa wanajifariji tu walipokuwa Kwenye shule za sekondari huko huku ukweli wakiujua moyoni na leo hii wakaamua kuonyesha ukweli?

Ni kweli pesa ni bora kuliko elimu?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaanisha elimu ya darasani au elimu ya Maisha in general?
Tuanzie hapo kwanza.

Sent using my 6x6 bed.
 
Pesa equivalent to utajiri is above all things. Kidogo Jesus ashawishike kumsujudia Shetwani baada ya kuonyeshwa utajiri na milki za dunia, ila alishinda ushawishi huo. Vile vitu vyote Yesu alivojaribiwa vinapatikana ukiwa na fedha yaani chakula, heshima mpaka kuabudiwa na utajiri. Usiilinganishe pesa na upuuzi mwingine wowote asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom