dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,820
- 61,728
amazon wako relatively costlier ...nashauri tumia Ebay hasa kwa items ambazo hazitoki china...uk,germany,italy wana fast shipping siku 10 mzigo hua unafika (standard int'l shipping) ambayo ni around 3usdNmeona comment yako
Naomba kuuliza mfano nkitaka kununua electronic stuffs,uhakika wa kufika na gharama kuwa ndogo kidogo kutokea ebay ni nafuu kuliko amazon?
Thanks alooot[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]amazon wako relatively costlier ...nashauri tumia Ebay hasa kwa items ambazo hazitoki china...uk,germany,italy wana fast shipping siku 10 mzigo hua unafika (standard int'l shipping) ambayo ni around 3usd
anytimeThanks alooot[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Sasa sisi ambao hatujawai fika Dar ndio umeacha kabisaa!!!...[emoji2][emoji2]Amazon ni kama unanunua nguo kwenye botique za Masaki.
Ebay ni kama unanunua nguo hiyo hiyo kwenye botique za Sinza na mwenge.
Ali express ni kama unanunua nguo hiyohiyo Manzese.
Gearbest wapo safi wale pia kuna geekbuying wenzaoVipi mkuu umewahi kujaribu huu mtandao gearbest.com kufanya manunuzi?
Mkuu hawa jamaa apps yao kwa android mbona iko Kawaida sana compare na Ebay au aliexpress nashindwa ata kusearch bidhaa! Au ntumie normal browserGearbest wapo safi wale pia kuna geekbuying wenzao
Na mzigo unafika baada ya siku ngapi??Nipo katika process ya kununua vitu kupitia alie express. Taratibu za kulipia zipoje,????
Amazon ni kama unanunua nguo kwenye botique za Masaki.
Ebay ni kama unanunua nguo hiyo hiyo kwenye botique za Sinza na mwenge.
Ali express ni kama unanunua nguo hiyohiyo Manzese.
Sasa sisi ambao hatujawai fika Dar ndio umeacha kabisaa!!!...[emoji2][emoji2]
Tatizo la hawa geekbuying hawaoneshi kama wanaship kuja Tanzania wakati gearbest wanakuonesha bidhaa wanasafirisha kuja Tanzania na gharama za usafiri wanakuwekeaGearbest wapo safi wale pia kuna geekbuying wenzao
Kwa nini umechagua kununua aliexpress mkuu??..... Mimi nimenunua vitu aliexpress mwezi mzima umeshapita wala havijafika ila nimenunua vitu vingine ebay juzijuzi vimefika faster ndani ya siku kumi tayari nimeshavipata wakati vile vya alie express ambavyo nimeagiza zamani bado sijavipata!Nipo katika process ya kununua vitu kupitia alie express. Taratibu za kulipia zipoje,????
Kaka mbona wapo sawa tu!!Mkuu hawa jamaa apps yao kwa android mbona iko Kawaida sana compare na Ebay au aliexpress nashindwa ata kusearch bidhaa! Au ntumie normal browser
Mkuu habari. Vipi vitu vyako kutoka Aliexpress vilifika ? vilitumia muda gani ?Kwa nini umechagua kununua aliexpress mkuu??..... Mimi nimenunua vitu aliexpress mwezi mzima umeshapita wala havijafika ila nimenunua vitu vingine ebay juzijuzi vimefika faster ndani ya siku kumi tayari nimeshavipata wakati vile vya alie express ambavyo nimeagiza zamani bado sijavipata!
Tatizo sio AliExpress bali ni shipping company mimi nimeagiza speedlite ya camera two weeks mpk sasa mzigo umeshafika nimetumia DHL hawa jamaa wapo faster ila sasa gharama zao inaweza zidi hata bei ya mzigo wenyewe usipokuwa makini... Cha ajabu kitu nisichokijua nimeambiwa niende na TIN namba na mimi sina kwahiyo inanilazimu nikachukue tini namba ndio niende nikachukue mzigoKwa nini umechagua kununua aliexpress mkuu??..... Mimi nimenunua vitu aliexpress mwezi mzima umeshapita wala havijafika ila nimenunua vitu vingine ebay juzijuzi vimefika faster ndani ya siku kumi tayari nimeshavipata wakati vile vya alie express ambavyo nimeagiza zamani bado sijavipata!
ulishafika mkuu,mzigo ulichukua kati ya siku 25-30!Mkuu habari. Vipi vitu vyako kutoka Aliexpress vilifika ? vilitumia muda gani ?
Mimi nimemtumia kote kote AliExpress na eBay.Kwa nini umechagua kununua aliexpress mkuu??..... Mimi nimenunua vitu aliexpress mwezi mzima umeshapita wala havijafika ila nimenunua vitu vingine ebay juzijuzi vimefika faster ndani ya siku kumi tayari nimeshavipata wakati vile vya alie express ambavyo nimeagiza zamani bado sijavipata!