Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 8,921
- 23,250
Nawasalimuni kwa heshima zote.
Tokea siku ile Adamu aliposhindwa kutii agizo la mungu, Mungu alimtahadharisha kuhusu kifo cha mwili.
Na tokea kipindi hiki kumekuwepo na vifo vingi vya binadamu na vyote vikitokana na sababu nyingi.
Ukiachilia maradhi na uzee kuna vifo vinavyotaka na sababu ya kiasili ya ulimwengu, na sababu za tabia za kibinadamu Kama vita vya kisiasa uchumi madaraka fitina nk.
Pia vimekuwepo vifo vitokanavyo na dini, kwamba wale walio na dini hii wakiwataka wasio amini Kama wao waami na inapokua kinyume checked hutokea kuuana.
Sasa Mimi ningependa kujua Kati ya huvyo Ni vipi vimesababisha watu wengi kufa.
Mungu ni mwema kila wakati.