kati ya BODA BODA na kufungua saloon ya kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kati ya BODA BODA na kufungua saloon ya kiume

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by OME123, Apr 26, 2012.

 1. OME123

  OME123 JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,279
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  wana jf kati ya saloon ya kiume na kununua boda boda ipi inalipa?mi nina kama mtaji wa milion mbili hivi nataka nifanye nayo biashara naombeni ushauri
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 0
  i think capital range is incomparable .... barber shop needs quite a bigger capital than that .... lease of premise is one of the aspect that contribute to high capital level although it is more advisable to go for that business than boda boda headache
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hakuna biashara isiyolipa, ni wewe tu ulenge location nzuri na ujue namna ya kuendesha biashara yako.
   
 4. OME123

  OME123 JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,279
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  so for the amount i have its not enough,do u mean that
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,925
  Likes Received: 1,975
  Trophy Points: 280
  Zote unaingia chaka!
   
 6. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,764
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mazingira ya biashara yanamata sana. So ushauri kuwa kipi bora kati ya boda boda na saloon, it depends na location uliyopo.
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  ashauria achana na biashara ya boda boda.
  Saluni ya kiume inalipa ila investment yake angalau uanze na Milioni5 hivi.
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 0
  for sure
   
 9. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  WaTz tuipende lugha yetu na tuwe wastaharabu. Mwenzako kauliza kwa Kiswahili lkn wewe unajibu kwa kiingereza! Unajuaje kwamba atakuelewa? Jibu lako linaweza kuwa zuri lkn lisimsaidie anayetafuta msaada.
   
 10. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Biashara ni KUZUNGUSHA MTAJI. Hivyo, fanya utafiti, angalia mahitaji ya mahali, halafu chagua ambayo itauza zaidi, na hivyo kuzungusha mtaji HARAKA ZAIDI. (turnover)
   
Loading...