Kati ya barnaba na amini nani zaidi?

Kati ya barnaba na amini nani zaidi?

mandingo6262

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
424
Reaction score
82
Habari zenu wana jamvi, nakuja kwenu kujaribu kupata mawazo yenu. Kuna track mpya ya amini na barnaba inaitwa why mimi nimejaribu kuisikiliza na wenzangu ila imezuka mabishano kwamba nani kamfunika mwenzake. Naomba kura zenu wadau?
 
Back
Top Bottom