ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habari wanajamvi
Ni matumaini yangu kuwa mko wazima wa afya njema na mnaendelea vizuri na shughuili
zenu, wengine mko katika shamrashamra za weekend na wengine katika hafla mbalimbali
za weekend. na wengine mmepata na mambo ya huzuni na mko katika huzuni mbalimbali
wote hawa nawatakia kheri na faraja kwa wote wapitiao matatizo/mapito mbalimbali. Na
kwa wale waliopoteza wazazi wao awe mmoja au wote pokeeni faraja ya upendo toka
kwangu Lady Mungu awape NGUVU na changamko la furaha tele maishani mwenu awakumbuke
katika mambo yenu yote.
Leo tena nimetoka jambo hili ambalo nimeona nishirikiane nanyi kwa kutoa madukuduku, maoni
hata kuuleta changamoto humu mjengoni, Wapendwa leo nimetoa mada hii inayosema kuwa
'Kati ya BABA na MAMA yupi bora zaidi au yupi umemwona anatekeleza wajibu wake kwa makini
kwa uwajibikaji wake kama kiongozi katika familia. Na je anaweza kuleta mapinduzi katika familia
yake?.
Wapendwa wenzangu leo nimeona niwape changamoto ya aina yake hapa nanyi mtoe yale
yaliyojaa mioyoni mwenu kuhusu ni nani anatakiwa kuwa wa pekee kwako au ninani
unayependa zaidi kuliko mzazi mwingine? na ni nani anayetelekeza wajibu wake kwa usahihi?
Kwa upande wangu mm naona anayefaa zaidi kuwa bora ni MAMA kwani mama anafanya
majukumu kwa uthabiti na kiongozi wa kuigwa kwa watoto kwani ndiye anayejali, kupenda
na kutunza familia kwa makini zaidi kuliko BABA kwani mababa wengi siku hizi hawatunzi
familia zao wengine wamediriki hata kukimbia familia zao kutokana na ugumu wa maisha,
Wengine wamewasaliti wake zao na wengine wameona kuwa familia zinawachosha na kuto
kutaka kutekeleza yale majukumu yao yani ulezi wa watoto na hatimaye watoto wengi
wanakuwa watoto wa mitaani kutokana na kukosa malezi ya pande zote mbili. Wengine
wamejiingiza katika mambo mabaya kutokana na BABA kutokuwapenda, kuwalinda na kutojali
familia zao. hivi ni kwanini jamani inakuwa hivi?
Ni nani anatakayeweza kuleta mapinduzi katika familia ni nani anayeweza kuleta mageuzi
ndani ya familia? wapendwa marafiki zangu Je ni nani unayedhani kuwa ni bora zaidi kwako
kuliko mwingine, ni mzazi gani bora kati ya BABA na MAMA ambaye ni mtunzaji wa familia kwa
makini na anayependa familia? Kwa mtazamo wako ni nani ambaye kwako rafiki waona ni wa
muhimu sana kwako? Hiyo ni changamoto kwako mpendwa rafiki yangu, Je ni nani?
Nawatakia baraka, furaha, na upendo na amani tele kwa weekend njema hii.
Angalia ni nani kati ya MAMA na Baba ambaye ni bora zaidi huyu ni Mama ambaye yuko
na mtoto wake akiwa anamjali na kuonesha Upendo wa familia yake
Hapa ni BABA ambaye anaonesha kutokujali familia yake angalia hapa
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNAONA YUPI AMBAYE ANAJALI FAMILIA YAKE NA KUITUNZA
Mimi Lady naona MAMA ni bora na wa muhimu kwangu ila hata kwa BABA naye ni bora kwani pasipo yeye kwani ningetokea mjengoni hapa ila kwa mtazamo wote ni bora sijui wewe mwenzangu rafiki yangu KATI YA BABA NA
MAMA NANI NI BORA ZAIDI?
Ni matumaini yangu kuwa mko wazima wa afya njema na mnaendelea vizuri na shughuili
zenu, wengine mko katika shamrashamra za weekend na wengine katika hafla mbalimbali
za weekend. na wengine mmepata na mambo ya huzuni na mko katika huzuni mbalimbali
wote hawa nawatakia kheri na faraja kwa wote wapitiao matatizo/mapito mbalimbali. Na
kwa wale waliopoteza wazazi wao awe mmoja au wote pokeeni faraja ya upendo toka
kwangu Lady Mungu awape NGUVU na changamko la furaha tele maishani mwenu awakumbuke
katika mambo yenu yote.
Leo tena nimetoka jambo hili ambalo nimeona nishirikiane nanyi kwa kutoa madukuduku, maoni
hata kuuleta changamoto humu mjengoni, Wapendwa leo nimetoa mada hii inayosema kuwa
'Kati ya BABA na MAMA yupi bora zaidi au yupi umemwona anatekeleza wajibu wake kwa makini
kwa uwajibikaji wake kama kiongozi katika familia. Na je anaweza kuleta mapinduzi katika familia
yake?.
Wapendwa wenzangu leo nimeona niwape changamoto ya aina yake hapa nanyi mtoe yale
yaliyojaa mioyoni mwenu kuhusu ni nani anatakiwa kuwa wa pekee kwako au ninani
unayependa zaidi kuliko mzazi mwingine? na ni nani anayetelekeza wajibu wake kwa usahihi?
Kwa upande wangu mm naona anayefaa zaidi kuwa bora ni MAMA kwani mama anafanya
majukumu kwa uthabiti na kiongozi wa kuigwa kwa watoto kwani ndiye anayejali, kupenda
na kutunza familia kwa makini zaidi kuliko BABA kwani mababa wengi siku hizi hawatunzi
familia zao wengine wamediriki hata kukimbia familia zao kutokana na ugumu wa maisha,
Wengine wamewasaliti wake zao na wengine wameona kuwa familia zinawachosha na kuto
kutaka kutekeleza yale majukumu yao yani ulezi wa watoto na hatimaye watoto wengi
wanakuwa watoto wa mitaani kutokana na kukosa malezi ya pande zote mbili. Wengine
wamejiingiza katika mambo mabaya kutokana na BABA kutokuwapenda, kuwalinda na kutojali
familia zao. hivi ni kwanini jamani inakuwa hivi?
Ni nani anatakayeweza kuleta mapinduzi katika familia ni nani anayeweza kuleta mageuzi
ndani ya familia? wapendwa marafiki zangu Je ni nani unayedhani kuwa ni bora zaidi kwako
kuliko mwingine, ni mzazi gani bora kati ya BABA na MAMA ambaye ni mtunzaji wa familia kwa
makini na anayependa familia? Kwa mtazamo wako ni nani ambaye kwako rafiki waona ni wa
muhimu sana kwako? Hiyo ni changamoto kwako mpendwa rafiki yangu, Je ni nani?
Nawatakia baraka, furaha, na upendo na amani tele kwa weekend njema hii.
Angalia ni nani kati ya MAMA na Baba ambaye ni bora zaidi huyu ni Mama ambaye yuko
na mtoto wake akiwa anamjali na kuonesha Upendo wa familia yake
Hapa ni BABA ambaye anaonesha kutokujali familia yake angalia hapa
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNAONA YUPI AMBAYE ANAJALI FAMILIA YAKE NA KUITUNZA Mimi Lady naona MAMA ni bora na wa muhimu kwangu ila hata kwa BABA naye ni bora kwani pasipo yeye kwani ningetokea mjengoni hapa ila kwa mtazamo wote ni bora sijui wewe mwenzangu rafiki yangu KATI YA BABA NA
MAMA NANI NI BORA ZAIDI?