BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 482
Wote ni sawa. Hakuna aliye bora kuliko mwenzake maana bila baba hapatikani mtoto as well as bila mama hapatikani mtoto.
mom is the best.
Hivi unadhani mwanaume na mwanamke wakifanya mambo yanayoshahibiana wapi kutakuwa na utofauti wa jinsia zetu?kaka yangu watu8 wazazi wote ni BORA hakuna aliyebora zaidi ya mwenzake ila inategemeana
Hivi unadhani mwanaume na mwanamke wakifanya mambo yanayoshahibiana wapi kutakuwa na utofauti wa jinsia zetu?
Baba na mama katika familia wana nafasi tofauti, na nafasi zao hutegemeana na ;
1. Utofauti wa Jinsia
2. Mgawanyiko wa majukumu na wajibu
n.k
Sasa kama tuna utofauti wa mambo kadha wa kadha, utawezaje kutumia maneno "YUPI NI BORA?" ilihali maneno hayo ni linganifu "comparative"?
Nahisi lugha niliyotumia imejitosheleza na kama kuna kamusi ya kiswalhili naomba niazime kwani mm nimetekwa na lugha ngeni hivyo kiswahili kinanipa chenga