Kathrin Steinbrenner, Naibu Balozi wa Ujerumani kamwambia Mbowe ‘Never Give Up’

Kwa nini Magaidi ya kiarabu uko USA wazungu hawakwenda kutoa hizo statement never give up . Huyo barozi mjinga sana. Magaidi wanaowakamata uko kwao barozi zetu au nchi nyingine walishaenda kuwaona hao Magaidi na kuwambia never give up.
Barozi?? 🤔🤔🤔🤔🤔
 
Unamaana mwendazake anagongewa mke wakati yeye yupo kaburini?
Imeandikwa hapo kuwa DJ atakua km Mandela baada ya haya matukio kupita lkn Mandela wakat anasoteshwa huku nyuma watu wake wakaribu walimsalit kwa kumzini mkewe na ndio maana nikatoa swali hilo
 
Ni sawa,lakini na mimi nikasema marehemu wengi tu wakishatangulia basi wake zao wanabaki wanabanjuliwa na wana!Na mimi ndio nikauliza hivyo!

Kwahiyo ukianzisha vita ya mawe,hakikisha hauna nyumba ya vioo!
 
kwani hao wajerumani ndio mahakama?

wenzake wanamchora tu awajui mabeberu!
Wajerumani sio mahakama.

Wanamchora watamfanyia kipi kibaya wakati ukweli unajulikana kwamba mbowe mmemkamata kwasababu ya madai ya kudai katiba mpya na sio huo uongo mnaouzungumzia nyie hapo lumumba. Huyo yuko pamoja na hawo unaosema wanamchora.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Ni aibu na kudhalilisha Nchi, kutengeneza makesi kila kukicha, nilidhani mambo hayo yameisha hawamu ya tano, kumbe bado!
Chadema kuweni watulivu swala la ugaidi ni gumu jipeni muda.Vyombo vya ulinzi vitathibitisha muda wa kesi Bado saaana
 
Ni sawa,lakini na mimi nikasema marehemu wengi tu wakishatangulia basi wake zao wanabaki wanabanjuliwa na wana!Na mimi ndio nikauliza hivyo!

Kwahiyo ukianzisha vita ya mawe,hakikisha hauna nyumba ya vioo!
Mwaka huu mtatoa mitusi yote lakini Gaidi hachomoki
 
Naibu Balozi wa Germany nchini Tanzania KATHRIN STEINBRENNER akamsogelea Freeman Mbowe na kumueleza "never, never, never Give up!" Freeman akasema "I will never give up".

Ikapigwa ngeli ya kutosha hapo. MaCCM wanalalamika koridoni, wanasema Germans wanasapoti ugaidi wa FREEMAN.

Huyo Naibu Balozi anaingilia Mahakama na ku support ugaidi, bila shaka, wizara ya Mambo ya Nje, itamwita na ataondolewa hapa nchini aende zao kwao huko Germany haraka sana.

Hatutaki ujinga sisi. Balozi anaenda Mahakamani kufanya nn? Hawa ndio supporter wa fedha na ugaidi, huyo aondolewe.

Gaidi lazima ata give up tu, hiyo never never, never give up anataongea na Mahakama, mahakama ikimfunga ataongea huko gerezani never never never give up. 30 solid years ndio ataimba neveeeer, neveer neveer givee uuuup, nyoko sana
 
Unashangaa Nini Ujerumani si ndo waliowatuma! Kwani Bwana makelele alikimbia ubalozi gani?
 
Kwa nini Magaidi ya kiarabu uko USA wazungu hawakwenda kutoa hizo statement never give up . Huyo barozi mjinga sana. Magaidi wanaowakamata uko kwao barozi zetu au nchi nyingine walishaenda kuwaona hao Magaidi na kuwambia never give up.
Wale wanakuwa magaidi kweli.. siyo huu ugaidi feki wa mh. Mbowe wa kubambikiziwa na wahuni mataga
 
Huyo Naibu Balozi anaingilia Mahakama na ku support ugaidi, bila shaka, wizara ya Mambo ya Nje, itamwita na ataondolewa hapa nchini aende zao kwao huko Germany haraka sana.

Hatutaki ujinga sisi. Balozi anaenda Mahakamani kufanya nn? Hawa ndio supporter wa fedha na ugaidi, huyo aondolewe.
Leo wamekuwa sio wawekezaji tena?
 
Huyo Naibu Balozi anaingilia Mahakama na ku support ugaidi, bila shaka, wizara ya Mambo ya Nje, itamwita na ataondolewa hapa nchini aende zao kwao huko Germany haraka sana.

Hatutaki ujinga sisi. Balozi anaenda Mahakamani kufanya nn? Hawa ndio supporter wa fedha na ugaidi, huyo aondolewe.

Gaidi lazima ata give up tu, hiyo never never, never give up anataongea na Mahakama, mahakama ikimfunga ataongea huko gerezani never never never give up. 30 solid years ndio ataimba neveeeer, neveer neveer givee uuuup, nyoko sana
Afu badae mtaenda kuwaomba condom na chanjo za msaada
 
Naibu Balozi wa Germany nchini Tanzania KATHRIN STEINBRENNER akamsogelea Freeman Mbowe na kumueleza "never, never, never Give up!" Freeman akasema "I will never give up".

Ikapigwa ngeli ya kutosha hapo. MaCCM wanalalamika koridoni, wanasema Germans wanasapoti ugaidi wa FREEMAN.

No brave person gives up in chase of freedom and justice. Bravo Freeman. You are not a terrorist.
 
Back
Top Bottom