Katazo lenye walakini mkubwa

Hao watu walivyovaa aisee,hayo si ni mateso.

Ila safi waache wafuate miongozo yao,vitabu vyao vinasema hivyo,acha iwe hivyo hivyo tu,na waislamu wa bongo nao waige hivyo
Aah bongo mfumo kafir umetamalaki haiwekani labda kuvuka maji chumvi
 
Wanapitia hali ngumu sana hao wanawake huko, Hakuna elimu pia tiba hakuna...hapo ni vifo vya wanawake vitashamiri kwa wingi sana
 
Ajabu nyingine...huo mzigo ukiwaelemea na kuwashinda kabisa wanatafuta misaada toka kwa wanaokinzana nao kiimani.
Wanawaita makafir[emoji848][emoji2827]
 
KUMBUSHO LA SIKU YA 17: Ni asubuhi huko Kabul, Afghanistan. Lakini siku ya giza kwa wasichana wa Afghanistan. Kundi la #Taliban lilipiga marufuku wanafunzi wa kike wa chuo kikuu kwenda masomoni tarehe 20 Desemba 2022.
 
#Taliban imepiga marufuku mpira wa miguu katika mkoa wa kaskazini-mashariki wa Takhar nchini Afghanistan
 
Wanawake jasiri wa #Afghanistan: "Lengo ni kuuondoa utawala wote wa #Taliban, sio sheria ya Taliban!"
 
2022 ulikuwa mwaka mbaya zaidi kwa wanawake wa Afghanistan na pengine 2023 itakuwa hivyohivyo tena ikiwa ulimwengu utaendelea kutochukua hatua dhidi ya uhalifu wa #Taliban.
 
Taliban hawajakataa wanawake wasisome,muwe mnafuatilia mambo,Kama wamebainisha madaktari wa kiume maana yake wa kike wapo
 
These guys are idiot (not the religion) ,elimu yao haiwasaidii hata kuwaza vitu vya kawaida. Labda kama wanawake kwao ni kama sisimizi ambayo unaweza kukanyaga bila kujua unaendelea na safari
Mkuu think twice....
 
Asking for a friend.

'Hivi kwenye bar zao huko Afghanistan, ma bar maid wanajiachia na vi mini Kama Hawa wa small planet Tabata?
Je vyangudoa wa huko nao huvaa hayo madude Yao.?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…